Kumekuwa na ongezeko la watoto wa kike ambao wanakataa kuingia kwenye mahusiano kwa visingizio kadhaa ikiwemo wana focus na uchaji Mungu huku wakisubiri mtu sahihi,ambaye kwao ni mwanaume mwenye utajiri.
Hawa watu wanaishi kwa pesa za kudanga kwani watu wengi huwa wanajipata wakiwa tayari na mahusiano yao ama wameoa kabisa.
Wadada wanaojiona wazuri wengi wanaona kuwa kwenye mahusiano ni sawa na kujibania bahati ya kukutana na wanaume mbali mbali wanaowatamani kimapenzi na kuwachuna.
Kundi hili wakianza kuingia miaka 30-35 ndipo wanagundua kuwa kupata mme wa rika lao ni vigumu kwani wanaume wa umri huo wanakuwa ama wameshaoa au wanatafuta watoto wa miaka chini ya 26.
Hatimae wakikusanya pesa za kutosha kutoka kwa madanga wao,huanza kutafuta vijana wadogo wa kuwalea.
Ogopa sana wanawake hawa maana ukiwa na pesa yuko tayari kukuua ili arithi mali na aendelee na maisha ya kununua viben ten.