Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Wakati fulani mwaka juzi niliwahi kumuuliza dada mmoja kuwa;wakija wanaume wawili kwa wakati tofauti wakakutongoza,yule wa kwanza akaja anakubembeleza kwa upole na kukuomba uwe girlfriend wake,halafu mwingine akaja bila kukubembeleza huku akionesha kutokujali na kukuambia kuwa anatakauwe girlfriend wake,je utamkubali yupi?Akanijibu kuwa atamkubali yule mkorofi,kumuuliza kulikoni akasema NDIVYO ILIVYO,je wadada kweli iko hivyo?