Wadada wanapenda wanaume wasiojali????

Wadada wanapenda wanaume wasiojali????

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,891
Wakati fulani mwaka juzi niliwahi kumuuliza dada mmoja kuwa;wakija wanaume wawili kwa wakati tofauti wakakutongoza,yule wa kwanza akaja anakubembeleza kwa upole na kukuomba uwe girlfriend wake,halafu mwingine akaja bila kukubembeleza huku akionesha kutokujali na kukuambia kuwa anatakauwe girlfriend wake,je utamkubali yupi?Akanijibu kuwa atamkubali yule mkorofi,kumuuliza kulikoni akasema NDIVYO ILIVYO,je wadada kweli iko hivyo?
 
Kaaaazi kweli kweli!

Kuna ukweli ndani yake maana baadhi ya wanawake hua wanataka mwanaume anaejiamini haswa....hawa wanaangukia kwenye kundi la BAD BOYS japo sio wote!Sasa mwanamke kama huyo akijiwa na mwanaume ambae haonyeshi kujali chochote anachukulia kwamba mshkaji anaamini atampata bila hata ya kubembeleza hivyo anajiamini!!Wabembelezaji hua wanaonewa wakati mwingine kwasababu
hapa mwanamke yeye ndo anaamini kwamba hata akimzingua atarudi tu
kubembeleza tena!
 
Si kweli...............ila you have to understand "clingy" men can be "suffocating" at times! so who knows???
 
na mimi nimeona hiyo.. wanaitwa RUDE BOYZ.. Rihannah kawaimba pia
 
aah NOT
ila may be manake inawezekana huyo mdada akawa na Testesterone nyingi
 
sihitaji mwanaume wa kunipa pressure mie!!!!!!!
 
Wakati fulani mwaka juzi niliwahi kumuuliza dada mmoja kuwa;wakija wanaume wawili kwa wakati tofauti wakakutongoza,yule wa kwanza akaja anakubembeleza kwa upole na kukuomba uwe girlfriend wake,halafu mwingine akaja bila kukubembeleza huku akionesha kutokujali na kukuambia kuwa anatakauwe girlfriend wake,je utamkubali yupi?Akanijibu kuwa atamkubali yule mkorofi,kumuuliza kulikoni akasema NDIVYO ILIVYO,je wadada kweli iko hivyo?

Mh!!!!!!!!!!!! Huyo siye aiseemaana wanawake tunavyopenda kujaliwa, halafu yeye aseme anapenda ambaye hajali, nina mashaka. Labda aseme anapenda mwanaume anayejiamini, (huyo wa kwanza anaonekana hajiamini) na wapili sio kwamba ni mkorofi bali anajiamini (why should he beg 4 luv) unapiga sound ukiona hakieleweki unaipotezea!!! Nadhani ndo ulikuwa unamaanisha hivyo. Kujiamini sio ukorofi.

Turudi kwenye mada mi napenda mwanaume anayejiamini kama mjeshi, nikiwa nae najua niko kwenye mikono salama.
 
Safina unamaanisha nini unaposema kujiamini?Kujiamini ni pamoja na kujali!
 
Back
Top Bottom