Wadada/Wanawake JF wapo!! Verification

Wadada/Wanawake JF wapo!! Verification

Oooh!! Pole sana mpendwa, usijali Mungu atatenda tu. Usikate tamaa.
Mie nipo tu namshukuru Mungu.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]

Tunasema ni akhasante kwa rehema zake na pumzi ya bure.
 
Nna account yangu twitter nili ifungua ku mfollow Trump
Yaan kaz yangu ni kuingia na kuangalia twts za Trump halaf mengine yana nishinda
Mie angalau twitter account nilifungua ila huwa naishia kusoma tweets tu, jf ndio hata sijui inafunguliwaje, nilivyofunguliwa ndio mpaka leo.
 
Hahahahah uwiiiii ngoja ntaongezaaa aisee nijitahidi nikufikie
Yaani we kidume kabisa alafu unakuwa na id chache hivyo, hebu ongezaongeza ili urahisishe kujitongoza na kujikubali.
 
Yaani we kidume kabisa alafu unakuwa na id chache hivyo, hebu ongezaongeza ili urahisishe kujitongoza na kujikubali.
We jemba umenifungia macho halaf ntakula mademu wako wote
 
Mie angalau twitter account nilifungua ila huwa naishia kusoma tweets tu, jf ndio hata sijui inafunguliwaje, nilivyofunguliwa ndio mpaka leo.
Hahaha
Halafu jf watu wanajuaga ni mtandao wa wana siasa tu,
Na hivi kama Mr Melo ana kesi wadada wataogopa kuja kabsa
 
Hahaha
Halafu jf watu wanajuaga ni mtandao wa wana siasa tu,
Na hivi kama Mr Melo ana kesi wadada wataogopa kuja kabsa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mie niliufahamu kwasababu ya rafiki yangu mmoja hv, yaani alikuwa adicted na jf, hadi saa8 usiku yupo humu alafu anacheka tu mwenyewe, ndio kumuuliza akaniambia kuna mtandao unaitwa jf, nikamuuliza ni kama fb(as haukuwahi kunivutia) acha aumwagie sifa, ndio nikavutika kujiunga hadi leo.
 
Back
Top Bottom