Wadada/Wanawake JF wapo!! Verification

Wadada/Wanawake JF wapo!! Verification

Numbisa kama ilivyo ugumu wa matumizi ya Twitter kwa wa Tanzania, ndivyo ilivyo kwa wanawake kumudu matumizi ya JF ..
 
Kwa sbabu hata JF inasadikika wanaume ni wengi kuliko wana wake
[emoji28]
Unajua jf haifahamiki sana, na ni mtandao mgumu kutumia kama twiter, mie hata account mpaka leo sijui inafunguliwaje[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Unajua jf haifahamiki sana, na ni mtandao mgumu kutumia kama twiter, mie hata account mpaka leo sijui inafunguliwaje[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Nna account yangu twitter nili ifungua ku mfollow Trump
Yaan kaz yangu ni kuingia na kuangalia twts za Trump halaf mengine yana nishinda
 
Back
Top Bottom