Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Dawa ganiiiOk,dawa yako nawaPM mods wanipe msaada wa haraka!![emoji17] [emoji17] [emoji17]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dawa ganiiiOk,dawa yako nawaPM mods wanipe msaada wa haraka!![emoji17] [emoji17] [emoji17]
Ya kukublock![emoji17]Dawa ganiii
AaahAngalia usilieee ooh
Weeeeeee huweziYa kukublock![emoji17]
Mods watanisaidia![emoji30]Weeeeeee huwezi
Utapata nini tena?[emoji30] [emoji30] [emoji30]
Sikat tamaa
Sku moja ntapata
We tangu lini ukawa mwanamke!!! Hebu tutake radhi.Ina maana hamna wa kunitetea huku?
Npo jaman sema harakat za mwisho wa mwaka hajiwa rafiki kabisa. Vp 31st??Sijambo kabisa, umepotelea wapi?
OhoooUtapata nini tena?
Hapana nlipigwa ban my diaSijambo, we si ulitupa njongoo na mti wake.
Kwa sbabu hata JF inasadikika wanaume ni wengi kuliko wana wakeJf inanshangaza yaan inapingana na wataalamu wanaosema wanawake ni wengi kuliko wanaume. Ila mbona huu uzi una wanaume wengi kuliko wanawake.
Oooh!! Pole sana mpendwa, usijali Mungu atatenda tu. Usikate tamaa.Npo jaman sema harakat za mwisho wa mwaka hajiwa rafiki kabisa. Vp 31st??
Ulifanya nini jamani?
Halaf jf ina member 10 tu ujue hilo [emoji23][emoji23][emoji23]Kwa sbabu hata JF inasadikika wanaume ni wengi kuliko wana wake
[emoji28]
Unajua jf haifahamiki sana, na ni mtandao mgumu kutumia kama twiter, mie hata account mpaka leo sijui inafunguliwaje[emoji85] [emoji85] [emoji85]Kwa sbabu hata JF inasadikika wanaume ni wengi kuliko wana wake
[emoji28]
Tena wewe ndio unaongoza kwakuwa na id rundoooo.Halaf jf ina member 10 tu ujue hilo [emoji23][emoji23][emoji23]
Hehehemi nnazo 3 wewe je?Tena wewe ndio unaongoza kwakuwa na id rundoooo.
Nna account yangu twitter nili ifungua ku mfollow TrumpUnajua jf haifahamiki sana, na ni mtandao mgumu kutumia kama twiter, mie hata account mpaka leo sijui inafunguliwaje[emoji85] [emoji85] [emoji85]