Wadada/Wanawake JF wapo!! Verification

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kweli mapenzi yana nguvu, ukasahau siasa kabisaaa.
Mie alikuwaga ananikosha lara 1 na mada zake na alivyokuwa anapangua comments, ndio alinivutia kujiunga humu.
 
Mimi mwanamama hamna wa kunithibitisha jaman
 
Hahaha
Ila mbona wenzetu wa kenya twitter ndio kama IG yao wako kibaoo
Hhaahah mkenya nae mtu... Huko tunakoelekea twitter itakuwa kama yahoo.... Sidhan kama itaeza transform kuja kwenye live chats kama video chats na calls.
 
Hhaahah mkenya nae mtu... Huko tunakoelekea twitter itakuwa kama yahoo.... Sidhan kama itaeza transform kuja kwenye live chats kama video chats na calls.
Hahahaa
Mkenya sio mtu ee
Sasa naonga jamaa hata kama wanatuma video wana attach u tube au IG, ki ukweli nadhan walicho baki kubadilisha ni rangi tu na display hamna kingne pale
 
Yani hua nakufananisha na jamaa mmoja hivi... Mchokozi chokozi na vituko kama wewe.
Hapana mkuu,kuna taarifa kuwa DinaZ ni dume la nguvu wala siyo jike kama tulivyokuwa tunatarajia sasa nataka nijue tu status ya dushe lake![emoji30]
 
Hahahaa
Mkenya sio mtu ee
Sasa naonga jamaa hata kama wanatuma video wana attach u tube au IG, ki ukweli nadhan walicho baki kubadilisha ni rangi tu na display hamna kingne pale
Hahahah wale watani zangu tu.... Wamezidiwa kete mno social networks za kumwaga na kila mmoja ana mbwembwe zake.
 
Du kumbe mnaweza kuwasaidia POLISI maana Max alikataa kabisavkuwa hamjui yeyote hata jinsia, je hawa wenye jinsia 2 ni dume lkn ansjifanya Ke
 
Kuweka taarifa sawa...wimbi la wanaume kujigeuza wadada linaongezeka jf



[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BringBaCkBenAlive[/HASHTAG]
[HASHTAG]#PumzikaKwaAmaniDenaAmsi[/HASHTAG]
Umenena Vema kabisa Mkuu...sijui huju jamaa Dinazarde haelewi nini hapo...yeye anajua kutaja tuuu,hata kama kawasiliana nao...haitoshi...lazima kuthibitisha kama ulivyofanya wewe physically au kupitia kwa Mtu ambae ameshamuona/waona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…