Wadada/Wanawake JF wapo!! Verification

Wadada/Wanawake JF wapo!! Verification

Kulia ni sehemu ya maisha! Mfalme Daudi mwenyewe aliumizwa na mapenzi sembuse mimi The bold..

Alafu mwanaume aliyekamilika haogopi kupenda.. Mtu anayejifanya "siwezi kumpenda mwanamke" ni muoga, anaogopa kuumia. Woga ni udhaifu kwenye maisha..
So yes i love her and im not afraid of the consequences..
kumpenda mwanamke sio ishue, ishu ni kumpenda mwanaume mwenzio ukidhania ni mwanamke.
 
kumpenda mwanamke sio ishue, ishu ni kumpenda mwanaume mwenzio ukidhania ni mwanamke.
Hahahahahah daaaahh sijui nisemeje Mkuu.. Wacha nitumie tafsida, mkuu she is my girl na tumeshavuka hiyo stage unayodhani tupo.. "Tumethibitishana" kitambo tu.. Sijui umeelewa?? Au niseme "tumeshakuwa mwili mmoja" bado tu kufanya iwe official..

Subiri tu siku ya siku uje kula pilau! Kama nakuona vile Tembosa unavyo ruka kwaito.. [emoji4]
 
Awwwwww that's the spirit.
Naanzaje kukuliza sasa The bold wangu jamani?
Machozi yako kwangu yatakuwa ya furaha and not otherwise.

You know me honey,I love you and you know bout that.

Hakuna anayejua ni jinsi gani nakupenda zaidi yako wewe pekee,ndio maana pamoja na vitisho vyote unavyopewa bado umezidi kuniamini.

Sikupendi kuuthibitishia umma nakupenda, nakupenda sababu moyo wangu unaniambia nakupenda wewe pekee.
Nakupenda sababu unanipa sababu za kukupenda kila uchwao.
Nakupenda sababu sioni mwingine wa kumpenda zaidi yako.
You deserve my all [emoji8] [emoji8] [emoji8]

#TheBoldIsMine#


# KipendaRoho
#TheBold's
 
Wakuu!
Nimeona nyuzi kadhaa na comments kadhaa hapa jukwaani, zikilalamika sana juu ya wanaume kutumia ID za kike ili kupata umaarufu. Wengi wanasema Jf hakuna hii jinsia pendwa ya KE.

Ninaomba tufanye verification kidogo hapa, ili mambo yakae sawa.
Mimi nitawataja wadada waliopo humu ambao nina uhakika 100% ni wadada tena warembo! Wengine nimekutana nao wengine tumewasiliana tena kwa muda mrefu sasa na ni marafiki wazuri pia.

Hii itaondoa dhana nzima ya "jf wengi ni wanaume au hakuna wanawake"....
Kama unaona vyema pia, unaweza kuwaongezea wewe ila uwe na ushahidi!!

shansarie i know her very well [emoji8]
KOKUTONA
Honey Faith
Mamndenyi (namfahamu vyema.)
Valentina
marejesho
Preta (nina uhakika via Arushawing)
Heaven on Earth
Passion Lady
kan'tangaze
mamaafacebook
TUMBOO
angelita
lara 1
Lady doctor (kupitia Arushaone)
miss chagga
Madame B (tulishaongea mara kadhaa)
MMAHE
mwallu (rafiki wa muda mrefu).
atoto (well verified...)
.............
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] hao hapo nina uhakika kabisa ni KE.
Kuna wengine nimewasahau kidogo nikiwakumbuka...nitaendelea na verification.

Jf warembo wapo....
Mimi umenisahau mkuu
 
Hahahahahahah kwanza bora muamini ni kidume ili usumbufu uishe aiseeee maana khaaaaa mpaka wifey imebidi afunge PM [emoji12] [emoji12] [emoji23]

Hahahhah wacha nisiongee sana, but subirini siku nikija kuwataarifu Mungu ametujaalia kumpata The Bold Jr ndio mtaelewa kuwa huwa "nathibitisha" jinsia yake nitakavyo.. [emoji41]

Niaje The Bold,
Hongera sana kwa kumpata Nifah!
 
Back
Top Bottom