Wadada/Wanawake JF wapo!! Verification

Nakumbuka miaka ya nyuma wanachama hapa less than 200 wanawake sidhani kama walifika hata 15 basi wanachama wa wakati huo walikuwa wakihamasishana ili wanawake zaidi wataarifiwe kuhusu jambo forums/jamii forums ili waje wajiunge. Sasa hivi mmejaa tele.

Tena washindwe kusema wanawake hatupo. ....ebook...hahaaa
 
Mbona mmi hukunistua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…