Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah M-Pesa hainaI see,
Na kwa bahati mbaya sana,
Sisi watoto siyo mafundi wa M-Pesa,
Hapo nimekuelewa mkuu
tumejificha Zanzbar mkweNa kwako pia mkwe!
Naona mmefichana kweli na mkeo.
Mniletee tende na haluatumejificha Zanzbar mkwe
karibu sana forodhani
Heheh!, kanichekesha. Na kakupatia haswa. [emoji28] [emoji23][emoji23]
Mniletee tende na halua
Hapana, zina sukari nyingi sn.Unapenda halua eeh!? [emoji41][emoji41][emoji41]
Passion LadyTena washindwe kusema wanawake hatupo. ....ebook...hahaaa
Tena washindwe kusema wanawake hatupo. ....ebook...hahaaa
usijali nitakuletea na urojoMniletee tende na halua
Mbona mmi hukunistua?Nakumbuka miaka ya nyuma wanachama hapa less than 200 wanawake sidhani kama walifika hata 15 basi wanachama wa wakati huo walikuwa wakihamasishana ili wanawake zaidi wataarifiwe kuhusu jambo forums/jamii forums ili waje wajiunge. Sasa hivi mmejaa tele.
The same to youMarahaba. ..
Happy New Year....
Hayo ndio maneno sasa.usijali nitakuletea na urojo
pamoja na juice ya ukwaju
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Haya sawa natamani sana