Wadada/Wanawake JF wapo!! Verification

Wadada/Wanawake JF wapo!! Verification

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sio fan wala nini!!
Na ni vyema wadada wasipende kuonana na watu, wengine ni wabaya sana! Hawasiti kukuandika jinsi walivyokuona
Na kuponda kwingi.

Mimi kuna wadada nimekutana nao mara kadhaa bila hata wao wenyewe kujijua, wakati unakuta nawajua kabisa na ID zao, but i never write a shit on them...

I respect them...
good kabisa
 
Back
Top Bottom