Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Happy hurry Xmass to you all and I wish alot of love and happiness.
Narudi kwenye point wanawake msijidanganye kuwa eti kwa maana humuombi boyfriend/fiancee/mume pesa kisa wewe ni mwanamke wa shoka.
Ambaye unajitahidi kutafutia riziki nakujitunza mwenyewe so huna mpango wa kuomba hela kwa mhusika hiyo inaitwa UNAJIKOMBA NA WALA HATOJALI UNACHOFANYA.
Raha ya mwanaume kuchunwa, kuchunwa kupewa majukumu.
Sio unamlipia kodi, unamlisha, unamvisha watoto unawasomesha yeye anapeleka hela wapi??
Na asubuhi unavyomuandalia chai asubuhi anaenda kutafuta riziki ni yanani kwa sababu ipi.
Mwenzenu kafa kisa kujikomba alidhania kujituma hadi basi ndio zawadi kumbe hawara ndio kapewa nyumba na gari jipya.
Yeye kaachwa nyumba ya kupanga.
Ya udongoo.
My take acheni kujikomba mwanaume mpe majukumu ndio maana yupo duniani.
Anakuchafua/unamlisha/unamfulia/unampa hela kweli nyie akina dada shughuli ipo.
Mama yako yupo kijijini nguo ya ndani hana.
Huku mjini unahonga mpaka.
Na kuwanunulia wanaume simu mupiyaa.
Shauri yenu.
Mtakuja kulia .
Wanaume sio wakupewa vitu au wakusotewa eti ili uitwe mwanamke wa shoka wanaume hawajui umuhimu wa kitu yeye kilichombele yake.
Ndio saizi yake.
Good day.......