Wadada/wanawake upo tayari kukaa bila ku test mitambo mpaka siku yenu ya ndoa?

Wadada/wanawake upo tayari kukaa bila ku test mitambo mpaka siku yenu ya ndoa?

Mimi pia imewahi nitokea hii na ni Almost people zote ninazokutana nazo

hunipiga fix kuwa "huu ni mwezi wa 6 kama sio mwaka" unaenda hajakwichi kwichi

sinaga papara maana nasubiriaga tu nione vitendo,nishawahi ingia chimbo 1 hilo

nikakaa kama mwezi tu,huku nyuma nilikua naambiwa "nakufa nakufa" nikawa namuuliza

unakufa unaumwa? akasema hapana siumwi ila nimebanwa Fanya mpango UJE au NIJE MIMI

nikasema hapa nisipotimiza haja ya watu "nachapiwa", nika solve tatizo chap chap ila kichwani

nikawa nawaza sana "huyu mbona aliniambiaga anaweza kaa hata mwaka" ki ukweli hivi viumbe "sivielewi"
Nakufa nakufa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Yupo sahihi.

Wala si kama wanakupiga fix.
 
Ila hii dunia kuna wanaume wazuri sana.
Ngoja niishie hapa [emoji1787]
 
Hii imezoeleka na sasa hivi imeshakuwa kama kawaida yetu wanaume wote kuambiwa tunapenda kutest mitambo hata kabla ya chochote kile,sawa tumekubali hii kwetu (hasa mimi) kukaa na wewe kama kaka na dada eti nasubiri siku ya ndoa ndio tukwichi kwichi Uvumilivu na ujinga huo sina. Nikae nasubiri siku ya ndoa ifike nije nikute hauna K (mi nitafanyaje).

Haya tutoke huko, leo naomba tu nyie wadada/wanawake muwe wakweli na mseme ile inayotoka chini ya uvungu wa nyoyo zenu, hivi ikitokea ukapata mpenzi (kama mnavyotaka) yule asietaka SEX kabisa kabla ya ndoa,akawa anakupa kila kitu,anakufanyia kila kitu yani hizi "material things" unapata zotee,upendo unapewa woteee ila/Lakini huyu jamaa yeye swala la sex ni NO,sababu yake ni 1 tu hataki kukuchezea mpaka atakapokuoa uwe mke wake.

hilo halitoshi,hata wakati wakuoga kila mtu anaoga peke ake, ukivaa anatoka nje anakuacha ndani uvae,akivaa yeye anakwambia toka nje AVAE yani hataki uone utupu wake wala yeye hayuko tayari kuona utupu WAKO.

Ladies naombeni leo mseme ukweli ukipata aina hiyo ya mwanaume, Utaweza vumilia kama atakavyo mpenzi wako huyo? au utafanyaje? hebu semeni tu ukweli na Jamaa ndio mmeanza mahusiano mna miezi mi 3 sasa, mipango yenu ya ndoa anakwambia ni itapofika 2022 ndio atakuoa kwa harusi kubwa na nzuri.

Hebu tuelezane hicho kipengele mnakimudu vipii? Uongo ni DHAMBI mkumbuke.

CONTROLA
Kuna mpumbavu kanipiga 90 Days rule...namcheki tu🙄 ila ipo siku ataita maji MMa😋
 
Kwa sababu tayari umeshakubali kuwa ninyi wanaume hamuwezi kusubiri nikiona unataka kusubiri nitajiuliza UNAFICHA NINI???
Pia nitajiuliza mwanaume huyu katokea sayari gani??? Isijekuwa ni jini
( Samahani komenti imejiandika)
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Binafsi siwezi kwa sababu nilishakutanaga na mwanaume anakojoa ndani ya dk 1 hawezi dumu hata dk 3 yaan alikua ana shida kubwa sana..nilivumilia but mwisho wa siku sikutaka kua msaliti nikaachana nae.
Sasa ukisema kusubiri ndoa naogopa yasije yakawa yaleyale.
Huyo alikua anakumaindi Sana au papuch yako iko too hot this why jamaa alikua ana cum mapema,it seems you are too hot baby
 
Kipengele kigumu sana ila kinawezekana sana....
Nafikiri wapo wachache waliokiweza...
 
Back
Top Bottom