Wadada wanengua viuno vya uzazi majukwaani bila aibu .

wadada kunengua viuno hadharani mbele ya umati wa watu katika maonesho ya nanenane jijini Mwanza ili wapewe vitenge ,T-shirt , na kofia za voda na cocacola inaonesha taswira mbovu ivi waume zao wameshindwa kuwadhibiti ?
😁😁😁ila wanajua daah au basi
Wewe mbona umeshindwa kujidhibiti kuwaangalia
 
wadada kunengua viuno hadharani mbele ya umati wa watu katika maonesho ya nanenane jijini Mwanza ili wapewe vitenge ,T-shirt , na kofia za voda na cocacola inaonesha taswira mbovu ivi waume zao wameshindwa kuwadhibiti ?
😁😁😁ila wanajua daah au basi
Desturiii --- polepole 2025
 
Pale hakuna mke wa mtu!
Wale ni waliokosa nidhamu mbele ya wazazi wao..
Ukienda mwanza kuna eneo linaitwa igoma stend, hapohapo kuna gesti inaitwa igunanilo, hao utawakuta humo
Haha..naona unapataja site...juz tu baada ya kutoka nanenaene nikaunga mpk nilo kujitafia namna ya kupunguza uzito
 
Kuna siku nilimuangalia Yule dada anavyo cheza, nikawaza ndugu zake sijui wanajisikiaje? Kwenye vikao vya ukoo sijui unaeleza nini wazee
☹️☹️☹️☹️☹️
Kuna watu mishipa ya aibu ilikatwa kitambo, wacheza picha za ngono, wanenguaji, wanasiasa mafisadi n.k
 
Kuna siku nilimuangalia Yule dada anavyo cheza, nikawaza ndugu zake sijui wanajisikiaje? Kwenye vikao vya ukoo sijui unaeleza nini wazee
☹️☹️☹️☹️☹️
Watasema nini wakati "bidada" anaingia kikaoni na Crown, huku tajiri wa ukoo anakuja na vespa,,
Pesa sabuni ya roho sheikh,,
 
wadada kunengua viuno hadharani mbele ya umati wa watu katika maonesho ya nanenane jijini Mwanza ili wapewe vitenge ,T-shirt , na kofia za voda na cocacola inaonesha taswira mbovu ivi waume zao wameshindwa kuwadhibiti ?
😁😁😁ila wanajua daah au basi
Si ulikua unatafuta mke? Kamata mmoja sasa hapo mwenye uno la maana
 
Kuna siku nilimuangalia Yule dada anavyo cheza, nikawaza ndugu zake sijui wanajisikiaje? Kwenye vikao vya ukoo sijui unaeleza nini wazee
☹️☹️☹️☹️☹️
Kama ndugu zake wameshindwa wewe au serikali itaweza wapi.
 
Back
Top Bottom