Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Wewe mbona umeshindwa kujidhibiti kuwaangaliawadada kunengua viuno hadharani mbele ya umati wa watu katika maonesho ya nanenane jijini Mwanza ili wapewe vitenge ,T-shirt , na kofia za voda na cocacola inaonesha taswira mbovu ivi waume zao wameshindwa kuwadhibiti ?
😁😁😁ila wanajua daah au basi
Uchawi unaanzia hapoImagine
Desturiii --- polepole 2025wadada kunengua viuno hadharani mbele ya umati wa watu katika maonesho ya nanenane jijini Mwanza ili wapewe vitenge ,T-shirt , na kofia za voda na cocacola inaonesha taswira mbovu ivi waume zao wameshindwa kuwadhibiti ?
😁😁😁ila wanajua daah au basi
Hiyo reply ya ramani uliisubiri sanaAhsante kwa ramani.
Haha..naona unapataja site...juz tu baada ya kutoka nanenaene nikaunga mpk nilo kujitafia namna ya kupunguza uzitoPale hakuna mke wa mtu!
Wale ni waliokosa nidhamu mbele ya wazazi wao..
Ukienda mwanza kuna eneo linaitwa igoma stend, hapohapo kuna gesti inaitwa igunanilo, hao utawakuta humo
Kuna siku nilimuangalia Yule dada anavyo cheza, nikawaza ndugu zake sijui wanajisikiaje? Kwenye vikao vya ukoo sijui unaeleza nini wazeeBonge la dada
Dada
Dada
Dada
Dada
Kuna watu mishipa ya aibu ilikatwa kitambo, wacheza picha za ngono, wanenguaji, wanasiasa mafisadi n.kKuna siku nilimuangalia Yule dada anavyo cheza, nikawaza ndugu zake sijui wanajisikiaje? Kwenye vikao vya ukoo sijui unaeleza nini wazee
☹️☹️☹️☹️☹️
Watasema nini wakati "bidada" anaingia kikaoni na Crown, huku tajiri wa ukoo anakuja na vespa,,Kuna siku nilimuangalia Yule dada anavyo cheza, nikawaza ndugu zake sijui wanajisikiaje? Kwenye vikao vya ukoo sijui unaeleza nini wazee
☹️☹️☹️☹️☹️
Bora hata uanasiasa hutii aibu ndugu zako!!Kuna watu mishipa ya aibu ilikatwa kitambo, wacheza picha za ngono, wanenguaji, wanasiasa mafisadi n.k
🤣Nimwendo Wa Kuchukua FIMBO NA KUWACHAPA
Tena Fimbo ya mpera
Mamaee, ulikaa kwenye msingi pale au?Haha..naona unapataja site...juz tu baada ya kutoka nanenaene nikaunga mpk nilo kujitafia namna ya kupunguza uzito
ETI ANAENDA IGUNANILOWewe untk kwenda wapi?
Si ulikua unatafuta mke? Kamata mmoja sasa hapo mwenye uno la maanawadada kunengua viuno hadharani mbele ya umati wa watu katika maonesho ya nanenane jijini Mwanza ili wapewe vitenge ,T-shirt , na kofia za voda na cocacola inaonesha taswira mbovu ivi waume zao wameshindwa kuwadhibiti ?
😁😁😁ila wanajua daah au basi
Kama ndugu zake wameshindwa wewe au serikali itaweza wapi.Kuna siku nilimuangalia Yule dada anavyo cheza, nikawaza ndugu zake sijui wanajisikiaje? Kwenye vikao vya ukoo sijui unaeleza nini wazee
☹️☹️☹️☹️☹️
Akili mtatumia zakosijona mwenye akili