SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
Kalaghabao Speedo,mambo yote siku hizi kwa kina mama ni kwenye Gym.Kwa sasa zimetapakaa jiji zima,ukipata muda kachungulie ndani uone mibaba (inaitwa instructors) waangalie misuli ilivyovimbiana (wenyewe kina mama wanaita six pack).Sasa wewe Speedo ,usafiri wako makalio(gari),ukitoka kazini breki ya kwanza Rose Garden ,ni mikuku,mibia,mimbuzi,mimchemsho,ukitoka hapo nyumbani hotpot sharti uonje vinginevyo asubuhi mama chanja hamutaelewana,kisha hapo tumbo hiloooo,tumikono hutwooooo,tumiguu hutwoooo,utashindana kweli na 'six pack'?. Na kwa taaifa yako Gym nyingi zina masseurs wa kiume,utajiju!
Hacha urongo usije fanya wame zetu watuzuie kwenda Gym buree.
Hahahaha lolKalaghabao Speedo,mambo yote siku hizi kwa kina mama ni kwenye Gym.Kwa sasa zimetapakaa jiji zima,ukipata muda kachungulie ndani uone mibaba (inaitwa instructors) waangalie misuli ilivyovimbiana (wenyewe kina mama wanaita six pack).Sasa wewe Speedo ,usafiri wako makalio(gari),ukitoka kazini breki ya kwanza Rose Garden ,ni mikuku,mibia,mimbuzi,mimchemsho,ukitoka hapo nyumbani hotpot sharti uonje vinginevyo asubuhi mama chanja hamutaelewana,kisha hapo tumbo hiloooo,tumikono hutwooooo,tumiguu hutwoooo,utashindana kweli na 'six pack'?. Na kwa taaifa yako Gym nyingi zina masseurs wa kiume,utajiju!
Kalaghabao Speedo,mambo yote siku hizi kwa kina mama ni kwenye Gym.Kwa sasa zimetapakaa jiji zima,ukipata muda kachungulie ndani uone mibaba (inaitwa instructors) waangalie misuli ilivyovimbiana (wenyewe kina mama wanaita six pack).Sasa wewe Speedo ,usafiri wako makalio(gari),ukitoka kazini breki ya kwanza Rose Garden ,ni mikuku,mibia,mimbuzi,mimchemsho,ukitoka hapo nyumbani hotpot sharti uonje vinginevyo asubuhi mama chanja hamutaelewana,kisha hapo tumbo hiloooo,tumikono hutwooooo,tumiguu hutwoooo,utashindana kweli na 'six pack'?. Na kwa taaifa yako Gym nyingi zina masseurs wa kiume,utajiju!
ila kumbuka kuna wakati anaweza kuwa safarini kwa miezi kadhaa sasa hapo vipi dear!!!Kwa mwanamke kwenda kununua mwanaume huwa si kazi rahisi na ndio maana utakuta kesi nyingi wanawake wanatoka na walewale wanaowazunguka either makazini, majumbani(walinzi, Houseboys) ndio wao wanaweza kuwarubuni. ndio maana wanaume wanasemaga mwanamke akiamua kufanya ubaya anafanya wa kuumiza zaidi ya mwanaume.All in all kununua ya nini wakati unaweza kuwa na wako peke yako?
ila kumbuka kuna wakati anaweza kuwa safarini kwa miezi kadhaa sasa hapo vipi dear!!!
by the way sijui wazo la kununua huduma litaanzia wapi kwenye ubongo wa mwanamke
sentensi ya 1 nilikuwa namkumbusha Suzie kuwa hata ukiwa na bf wako kuna wakati itatokea mko mbali kwa muda flanimerytina,
sentensi yako ya 1 na ya 2 mbona zinakinzana?
Merytina, unajua mpenzi wako anaweza safiri kwenda nje na usitembee na mtu, ni akili tu ukijiendekeza ndio utaishia kufanya haya, mie anasafiri sana nikifanya nimeamua sio kwamba nimeshindwa kuvumiliaila kumbuka kuna wakati anaweza kuwa safarini kwa miezi kadhaa sasa hapo vipi dear!!!
by the way sijui wazo la kununua huduma litaanzia wapi kwenye ubongo wa mwanamke
Mery sie watu wazima bana wewe mwaga tu hapa tuonesentensi ya 1 nilikuwa namkumbusha Suzie kuwa hata ukiwa na bf wako kuna wakati itatokea mko mbali kwa muda flani
ya pili nilikuwa namjulisha mleta sredi kuwa wanawake hatuwazii kabisa kununua huduma kama wafanyavyo wanaume.Tuna namna zetu ila sii hii ya come,f*** ,get pay and go.
naogopa kuingia kwenye mzozo wa kidiplomasia na wadada wa JF ningeweka wazi how we move around.
Ni kweli dear!Merytina, unajua mpenzi wako anaweza safiri kwenda nje na usitembee na mtu, ni akili tu ukijiendekeza ndio utaishia kufanya haya, mie anasafiri sana nikifanya nimeamua sio kwamba nimeshindwa kuvumilia
Mery sie watu wazima bana wewe mwaga tu hapa tuone
Mmmh!! HUYU NDIYO LIZZY bana...............lol
Mwenye thread jibu hilo swali kwanza.
Ehhh atuambie tujue nia yake ndo tupate pa kuanzia!
hOW mERYKwa sasa mkuu wa ubongo wa diplomatic mission kwenye ubongo wangu ananitaka niwe mnafiki kudumisha mahusiano JF
LIZZ,
Lengo langu halikuwa kununua au kununuliwa.
Kama mwanaume nimekuwa nikikutana na wadada (wake za watu, wanafunzi na singles) tofauti tofauti katika kupiga stories, baadhi yao wamekuwa wakisisitiza kuwa wanapenda sana ku - "do" either na waume zao, B/Fs etc at least twice a week.
Kutokana na maelezo yao hao wachache, nikajifikiria mimi kuwa endapo nahitaji kupata hiyo huduma popote nitakapokuwa Tanzania (Mikoani kote) ni swala la mimi kuamua saa ngapi nifanye na wa aina (umbo/rangi/kimo/umri) gani kutimiza azma ya moyo kwa wakati huo.
Hapo ndipo likaja wazo, JE!!!! kwa wenzetu wadada, ni wapi wanaweza na wao kupata huduma kama sisi wanaume? (iwe kwa kugharamia au kutogharamia).
Nimetumia uzoefu wangu kuwakilisha wanaume wengine.
Nawasilisha