SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
Kalaghabao Speedo,mambo yote siku hizi kwa kina mama ni kwenye Gym.Kwa sasa zimetapakaa jiji zima,ukipata muda kachungulie ndani uone mibaba (inaitwa instructors) waangalie misuli ilivyovimbiana (wenyewe kina mama wanaita six pack).Sasa wewe Speedo ,usafiri wako makalio(gari),ukitoka kazini breki ya kwanza Rose Garden ,ni mikuku,mibia,mimbuzi,mimchemsho,ukitoka hapo nyumbani hotpot sharti uonje vinginevyo asubuhi mama chanja hamutaelewana,kisha hapo tumbo hiloooo,tumikono hutwooooo,tumiguu hutwoooo,utashindana kweli na 'six pack'?. Na kwa taaifa yako Gym nyingi zina masseurs wa kiume,utajiju!
ukweli karibu na ukweli