hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
hahahaa acha hzo basiii..... kwani kuna mtu anaye achaga Chaputa MOJA kwa moja ...watu huwa wanapumzika tu baada ya kuwapata wenzi wao wakudumu ..ila wakitibuana tu wanatejea kwenye CHAPUTA kama kawaMmmmh we utakua chaputa sio bure