Wadada wasiovaa makufuli!

Wadada wasiovaa makufuli!

Mmmmh we utakua chaputa sio bure
hahahaa acha hzo basiii..... kwani kuna mtu anaye achaga Chaputa MOJA kwa moja ...watu huwa wanapumzika tu baada ya kuwapata wenzi wao wakudumu ..ila wakitibuana tu wanatejea kwenye CHAPUTA kama kawa
 
1f0baccb78dc8b773544e40310bc89a1.jpg
Hapa naona TANROADS wanahusika. Bila ya kuwa na abnormal permit huwezi kukatiza nayo hii ngoma barabarani

😀😀😀
 
Jana nimeenda duka jirani kuchukua dawa ya mswaki . Si nikakutana na mzigo heavy. Si nikaanza kuufatilia kwa kuutadhmini. Mara najistukia nipo kinondoni B. Tokea Morocco na dawa yangu mkononi na kabukta kafupiii. Ni balaa !!
Mkuu ungeomba number
 
Back
Top Bottom