hahahaa acha hzo basiii..... kwani kuna mtu anaye achaga Chaputa MOJA kwa moja ...watu huwa wanapumzika tu baada ya kuwapata wenzi wao wakudumu ..ila wakitibuana tu wanatejea kwenye CHAPUTA kama kawaMmmmh we utakua chaputa sio bure
Aaah babe, aiseeeUzi huu bila picha kazi bure bora mods waufunge tu
Niambie babyAaah babe, aiseee
pitia PM sasa hiviNiambie baby
Hapa naona TANROADS wanahusika. Bila ya kuwa na abnormal permit huwezi kukatiza nayo hii ngoma barabarani
Mkuu ungeomba numberJana nimeenda duka jirani kuchukua dawa ya mswaki . Si nikakutana na mzigo heavy. Si nikaanza kuufatilia kwa kuutadhmini. Mara najistukia nipo kinondoni B. Tokea Morocco na dawa yangu mkononi na kabukta kafupiii. Ni balaa !!
[emoji28] [emoji3] kumbe ulikuwa unapita kimya kimyaNiko my!
Mpaka nikamwambia mshipa DJ Sepetu kajificha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eeee nawazoom[emoji23] [emoji23]
Haya mkuu kazi njema isije ukawa umewapanga hapo watu wanaotaka kuhudumiwa[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Unajua nakupenda lazma nilinde zabibu zangu!