Wadada wasiovaa makufuli!

Hahaha baby una shida hiyo nini!
Kuna kaka alikuwa hapendi mwanamke mwenye nido kubwa utazani kabeba zajirani sasa kilichokuja kumpata mwenyewe anashangaa kubwa kuzidi [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] mkewe huyo anampeleka wapi!
 
Hapo sawa wewe unatafunika na mifupa kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wembamba ukizidi duu mmm na bonge naye mmm ila bonge unaweza fanya mazoezi ila wembamba mmm wanakula hao na sijui chakula kinaendaga wapi
 
Unatakiwa uwe na mwili wa size ya kati ukipakatwa unapakatika vizuri[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mwingine anakuwa kawaida akiolewa na kupata mtoto anaumuka huyo
 
Sawa nitajitahidi
Mie niliwahi ambiwa anza mazoezi nikasema sawa halafu nataka kuwa mwembamba kama fulani, jibu lake uingie nyumba ya nani mwili gani ule[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna kaka alikuwa hapendi mwanamke mwenye nido kubwa utazani kabeba zajirani sasa kilichokuja kumpata mwenyewe anashangaa kubwa kuzidi [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] mkewe huyo anampeleka wapi!
Haahaa huo mtihani
Ayatafutie matumizi ili ayapende ubunifu ktk mahaba!
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] ukimuuliza anaguna eti mie nilikuwa nataka modo lakini huyo hapo anatizama na pembeni[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Mie niliwahi ambiwa anza mazoezi nikasema sawa halafu nataka kuwa mwembamba kama fulani, jibu lake uingie nyumba ya nani mwili gani ule[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ikabidi ujiachie tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…