Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Mpk sasa cjaona pic ya mfano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] Ushanichanganya tayari najuta kukuuliza kwakweli
Hebu naomba sifa za mwili wako kwanza, ni bonge au portableNdiyo hivyo linakuwa tukunyema sababu unalitunza vizuri
Kuna kaka alikuwa hapendi mwanamke mwenye nido kubwa utazani kabeba zajirani sasa kilichokuja kumpata mwenyewe anashangaa kubwa kuzidi [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] mkewe huyo anampeleka wapi!Hahaha baby una shida hiyo nini!
Mie kawaida mkuu si kimbaumbau wala bonge nipo katiHebu naomba sifa za mwili wako kwanza, ni bonge au portable
Hapo sawa wewe unatafunika na mifupa kabisaMie kawaida mkuu si kimbaumbau wala bonge nipo kati
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wembamba ukizidi duu mmm na bonge naye mmm ila bonge unaweza fanya mazoezi ila wembamba mmm wanakula hao na sijui chakula kinaendaga wapiHapo sawa wewe unatafunika na mifupa kabisa
Unatakiwa uwe na mwili wa size ya kati ukipakatwa unapakatika vizuri[emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wembamba ukizidi duu mmm na bonge naye mmm ila bonge unaweza fanya mazoezi ila wembamba mmm wanakula hao na sijui chakula kinaendaga wapi
Mwingine anakuwa kawaida akiolewa na kupata mtoto anaumuka huyoUnatakiwa uwe na mwili wa size ya kati ukipakatwa unapakatika vizuri[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Haha ile mitori wanayopewa sio mchezoMwingine anakuwa kawaida akiolewa na kupata mtoto anaumuka huyo
Ndiyo hivyo ila kama unaye akinenepa usimchukie bali msaidiye apungue kidogo[emoji39] [emoji39] [emoji39]Haha ile mitori wanayopewa sio mchezo
Sawa nitajitahidiNdiyo hivyo ila kama unaye akinenepa usimchukie bali msaidiye apungue kidogo[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Mie niliwahi ambiwa anza mazoezi nikasema sawa halafu nataka kuwa mwembamba kama fulani, jibu lake uingie nyumba ya nani mwili gani ule[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sawa nitajitahidi
Haahaa huo mtihaniKuna kaka alikuwa hapendi mwanamke mwenye nido kubwa utazani kabeba zajirani sasa kilichokuja kumpata mwenyewe anashangaa kubwa kuzidi [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] mkewe huyo anampeleka wapi!
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] ukimuuliza anaguna eti mie nilikuwa nataka modo lakini huyo hapo anatizama na pembeni[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Haahaa huo mtihani
Ayatafutie matumizi ili ayapende ubunifu ktk mahaba!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ikabidi ujiachie tuMie niliwahi ambiwa anza mazoezi nikasema sawa halafu nataka kuwa mwembamba kama fulani, jibu lake uingie nyumba ya nani mwili gani ule[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hamna nipo kawaida, unajua sio kila siku kunenepa tuu kuna wakati mwili unapungua kulingana na mazingira.[emoji23] [emoji23] [emoji23] ikabidi ujiachie tu
Kweli. Hebu nikuone kidogoHamna nipo kawaida, unajua sio kila siku kunenepa tuu kuna wakati mwili unapungua kulingana na mazingira.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kesho nikiwa napita nitakucallKweli. Hebu nikuone kidogo