Wadada wembamba vitambi mnavitoa wapi?

Wadada wembamba vitambi mnavitoa wapi?

Habari za jioni wanajamvi

Niende kwenye mada moja kwa moja. Hivi wadada wenzangu hua mmnaajiskiaje 🤔🤔.

Yaani hakuna kitu kinanikera kama kumuona mdada mwembamba akiwa na kitambi, yani utakuta mdada ni mzuri mrembo safi ila akitembea katumbo kanatangulia mbele🤒🤒.. Hua najiuliza wanakulaga nini au ni uvivu tu hata wa kufanya mazoezi.

Asa sikia, kama ni mdada, mrembo mzuri halafu una kitambi, fanya mazoezi ya kupunguza tumbo hata mara moja kwa siku. Wengine mtasema hamna hela za kulipia gym sawa naelewa, ila kuna Applications nyingi sana za mazoezi unaweza ukaingia playstore ukadownload ukaanza mazoezi yako mdogomdogo..

Na nyie wakaka muwashawishi wapenzi wenu wafanye mazoezi bhana.

Mimi nikionaga couple mkaka upo na mdada mwembamba ana kitambi sijui hua nawaonaje yani🧐

Nimemaliza....
Bila picha mkuu🤓😊
 
IPO barabarani🤣😁
Hapa duniani Kuna mdada aliwai kunipenda akazama kwenye dimbwi la mahaba akapotelea humo.........................

Dada wa kikurya sura ya baba mweusi kama mkaa ila ana bonge la shepu na yupo classic......

am 4 real napenda hio midomo yako na hayo macho yako your so handsome...

Kipindi Cha uchumba na Huyu wife WANGU siku Moja tukiwa Kwa dating akaja jua na side chick huyo black akawa ananicheka na kuniponda nimechagua demu kama mkaa 🤣🤣😂😂

Mimi hoi hoi......huyo mdada ni Moja ya viumbe hapa duniani akili zetu zili click aisee way back 🔙 🔙
 
Back
Top Bottom