Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
kazi na umri, kuna umri mdada akifika na uvivu unaongezeka hasa kwa kufanya mazoezi ya tumbo na kupunguza uzito. Shortly wanachagua mazoezi fulani na kuacha mengine kutokana na ugumu na mazoezi ni kuutesa mwili usijionee huruma ili kupata matokeo mazuri.
Kwa wanaotaka kupungua uzito haraka mazoezi ya kuruka kamba ni suluhisho, nmeweza kupunguza KG 8 ndani ya mwezi mmoja.
Kwa wanaotaka kupungua uzito haraka mazoezi ya kuruka kamba ni suluhisho, nmeweza kupunguza KG 8 ndani ya mwezi mmoja.