Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Naona raha kukusema rakha sana mamboooNime kukosea nini Tena, ewe Binti Maua π€
Nika jua una nichukiaππ€£Naona raha kukusema rakha sana mambooo
Kwanini zamani sawa ila sasa hapanaNika jua una nichukiaππ€£
Sawa Binti Maua π€Kwanini zamani sawa ila sasa hapana
Bila picha mkuuπ€πHabari za jioni wanajamvi
Niende kwenye mada moja kwa moja. Hivi wadada wenzangu hua mmnaajiskiaje π€π€.
Yaani hakuna kitu kinanikera kama kumuona mdada mwembamba akiwa na kitambi, yani utakuta mdada ni mzuri mrembo safi ila akitembea katumbo kanatangulia mbeleπ€π€.. Hua najiuliza wanakulaga nini au ni uvivu tu hata wa kufanya mazoezi.
Asa sikia, kama ni mdada, mrembo mzuri halafu una kitambi, fanya mazoezi ya kupunguza tumbo hata mara moja kwa siku. Wengine mtasema hamna hela za kulipia gym sawa naelewa, ila kuna Applications nyingi sana za mazoezi unaweza ukaingia playstore ukadownload ukaanza mazoezi yako mdogomdogo..
Na nyie wakaka muwashawishi wapenzi wenu wafanye mazoezi bhana.
Mimi nikionaga couple mkaka upo na mdada mwembamba ana kitambi sijui hua nawaonaje yaniπ§
Nimemaliza....
IPO barabaraniπ€£πBila picha mkuuπ€π
Hapa duniani Kuna mdada aliwai kunipenda akazama kwenye dimbwi la mahaba akapotelea humo.........................IPO barabaraniπ€£π
ππ€π picha muhimuuJamani si mumeelewa lakini πππππ§
Ili mradi umeniambia nitulie kweli natulia mambo mazuri hayataki haraka πtulia kwanza wewe π€πππ
Ufanye kweli sasa ππYeah πππ
Namuita Lenie njoo tumeambiwa tuna vitambii na huyu jamaa .Sawa Binti Maua π€