Wadada wembamba vitambi mnavitoa wapi?

Wadada wembamba vitambi mnavitoa wapi?

Habari za jioni wanajamvi

Niende kwenye mada moja kwa moja. Hivi wadada wenzangu hua mmnaajiskiaje [emoji848][emoji848].

Yaani hakuna kitu kinanikera kama kumuona mdada mwembamba akiwa na kitambi, yani utakuta mdada ni mzuri mrembo safi ila akitembea katumbo kanatangulia mbele[emoji855][emoji855].. Hua najiuliza wanakulaga nini au ni uvivu tu hata wa kufanya mazoezi.

Asa sikia, kama ni mdada, mrembo mzuri halafu una kitambi, fanya mazoezi ya kupunguza tumbo hata mara moja kwa siku. Wengine mtasema hamna hela za kulipia Jim sawa naelewa, ila kuna Applications nyingi sana za mazoezi unaweza ukaingia playstore ukadownload ukaanza mazoezi yako mdogomdogo..

Na nyie wakaka muwashawishi wapenzi wenu wafanye mazoezi bhana.

Mimi nikionaga couple mkaka upo na mdada mwembamba ana kitambi sijui hua nawaonaje yani[emoji3166]

Nimemaliza....
Siyo Jim dear ni GYM[emoji846]
 
Habari za jioni wanajamvi

Niende kwenye mada moja kwa moja. Hivi wadada wenzangu hua mmnaajiskiaje 🤔🤔.

Yaani hakuna kitu kinanikera kama kumuona mdada mwembamba akiwa na kitambi, yani utakuta mdada ni mzuri mrembo safi ila akitembea katumbo kanatangulia mbele🤒🤒.. Hua najiuliza wanakulaga nini au ni uvivu tu hata wa kufanya mazoezi.

Asa sikia, kama ni mdada, mrembo mzuri halafu una kitambi, fanya mazoezi ya kupunguza tumbo hata mara moja kwa siku. Wengine mtasema hamna hela za kulipia gym sawa naelewa, ila kuna Applications nyingi sana za mazoezi unaweza ukaingia playstore ukadownload ukaanza mazoezi yako mdogomdogo..

Na nyie wakaka muwashawishi wapenzi wenu wafanye mazoezi bhana.

Mimi nikionaga couple mkaka upo na mdada mwembamba ana kitambi sijui hua nawaonaje yani🧐

Nimemaliza....
Umejiuliza kwanza kuhusu sababu za vitambi? Na hivyo vitambi vinadumu zaidi ya miezi tisa?
 
Habari za jioni wanajamvi

Niende kwenye mada moja kwa moja. Hivi wadada wenzangu hua mmnaajiskiaje 🤔🤔.

Yaani hakuna kitu kinanikera kama kumuona mdada mwembamba akiwa na kitambi, yani utakuta mdada ni mzuri mrembo safi ila akitembea katumbo kanatangulia mbele🤒🤒.. Hua najiuliza wanakulaga nini au ni uvivu tu hata wa kufanya mazoezi.

Asa sikia, kama ni mdada, mrembo mzuri halafu una kitambi, fanya mazoezi ya kupunguza tumbo hata mara moja kwa siku. Wengine mtasema hamna hela za kulipia gym sawa naelewa, ila kuna Applications nyingi sana za mazoezi unaweza ukaingia playstore ukadownload ukaanza mazoezi yako mdogomdogo..

Na nyie wakaka muwashawishi wapenzi wenu wafanye mazoezi bhana.

Mimi nikionaga couple mkaka upo na mdada mwembamba ana kitambi sijui hua nawaonaje yani🧐

Nimemaliza....
Wewe mwonekano wako ukoje, ukiachilia kitambi?
 
Back
Top Bottom