Wadada wengi siku hizi wameharibika

Wadada wengi siku hizi wameharibika

Huu ufirauni mnavyozidi kuujadili ndiyo mnazidi kuueneza, mtawafanya wale ambao hawakuwahi kuujaribu wanavyousikia wajaribu nao.

Muhimu ni kuupigia kimya tu, wanaoanza humo mwisho wake wanakuja kuingilia hadi machoko. Kimtindo huu hii vita hatutoiweza

Mada juu ya ufirauni huu ni kuzipigia kimya, kuendelea kuzijadili ni kufanya watu wazidi kuufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ila inaonesha mtoa mada nae ni professor kweny iyo category
 
Hiyo michezo ni uchafu ulopitiliza na zaidi hii technologia yenu mnaitumia vbaya,utakuta nyie wanaume ndo mmewazoesha wenyewe
 
Acha huo mchezo dushe yako itaziba ngoja uzae mtoto wa kike huoni kinyaa, mhhhhh

Sent using Jamii Forums mobile app

Nyie ndiyo wale mkija kuwaona babu zenu, baba zenu, wajomba zenu nk na mpira wa mkojo (Catheter) kwasababu ya matatizo ya mkojo kuziba mtakuwa mnahisi walishawahi kuwa wazibua Choo.

Wewe uliambiwa na nani sababu ya mkojo kuziba ni nini?

Google causes of urinary bladder outlet obstruction (upate kuelimika zaidi)
 
Ahsante Kwa hii nafasi...Madhara yake ni haya yafuatayo;

1:Inaleta kansa ya makalio kwa mtendewa. Hii ni ngumu kupona na mateso pamoja na maumivu yake ni makubwa sana.

2:Kuziba kwa mirija ya kupitisha haja ndogo kwa mtenda. Hii itakusababishia usumbufu wa kupigwa bomba ambapo huleta maumivu pia.

3:Kulegea kwa misuli kwa mtendewa, hii ni kwa sababu ile njia ya haja kubwa imetengenezwa kwa ajili ya kutoa kitu nje na si kuingiza ndani.

4:Kupata matatizo wakati wa kujifungua kwa mtendewa, sababu milango yote inakuwa wazi hivyo kumpa shida mtoto wakati wa kutoka.

5:Kupungukiwa nguvu za kiume kwa mtenda na kupata msongo wa mawazo.

Wapenda tigo wote wanaongoza kwa kukosa furaha.





Sent using Jamii Forums mobile app

Haya madhara uliyoainisha ni ya kufikirika zaidi.

Ila madhara halisi ni maambukizi rahisi ya VVU na magonjwa mengine ya zinaa ikiwemo kirusi anayeitwa HPV (Human papilloma virus) ambaye amehusishwa na kansa ya shingo ya kizazi, uke, mkund.u na uume.

Pia inaweza kuleta maambukizi ya bakteria (Escherichia Coli) kwenye njia ya mkojo (UTI).

Madhara mengine ni ya kiimani kulingana na makatazo ya maandiko ya kidini.
 
Back
Top Bottom