Wadada wenye magari na vimini

Wadada wenye magari na vimini

Hizi benki zinaambiana nini maana utakuta nyingi wameajiri watoto weupe sketi fupi inampasuo nyuma guu hilo au upaja halafu hizo sauti unazokaribishwa nazo kidogo mteja unafurahia huduma



Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna siku nilienda CRDB Azikiwe pale Posta Mpya, nilikutana na mtoto mkali kinyama, yaani kila idara yupo perfect, ebhana ehee acha kabisa..kuna bank branches zina watoto wakali balaa na wanajua kweli kuturusha roho.
 
Mtoa mada hauko updated..kuna vigauni wanashona vya vitenge, sasa hivi wanavaa wanakua kama vikatuni vinapaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wakikaa kwenye usukani wanavichomeka mapajani kwa ndani halafu wanaweka simu kwa juu pale kwenye mashine[emoji16].

Kwa leo tu nimekutana na wawili

Sent using Jamii Forums mobile app
😂 😂 😂 vikatuni vinapaa na vipaja km panzi
 
Nunua gari utaelewa.
Raha ya gari ni hiyo sasa.
Nini vimini!? Ungeniona mimi nikiwa kwenye gari si ungelia? Navaa T-shirts tuu ndefu kidogo.
Nna gari la nguvu lkn sijifunui mapaja..
Coz nna hela ya mafuta
Nna hela ya service
Nna hela ya fine 🙌🙌🙌
 
Mleta mada nilijua ni wa kiume kumbe ni wa kike,ningeshangaa sana angekuwa wa kiume,maana midume hatuwezi laani uachwaji wazi wa mapaja bali tunaunga mkono kama trump anavyoiunga mkono iziraeli
 
Back
Top Bottom