audacious
JF-Expert Member
- Mar 28, 2012
- 240
- 397
Kuna wanawake wamebarikiwa miguu mizuri..Nimekusaidia kuweka picha[emoji1787][emoji1787]View attachment 1328508
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wanawake wamebarikiwa miguu mizuri..Nimekusaidia kuweka picha[emoji1787][emoji1787]View attachment 1328508
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie nikiona mwanamke kavaa uchi uchi jambo LA kwanza namuona Malaya tu.[emoji23] [emoji23] wadada wanafanya kile mnachopenda...
Ungemuuliza tena hizo picha hao wanawake wanavyura?Kwa hiyo picha umepiga ila unaogopa TCRA?
Umeshtushwa na huo wingi au?
Soma post #102Kumbe kwa akili yako unadhani kuvaa vimini ni ili kupata hela ya mafuta na service na fine? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Inaonekana mipaja na vipaja...Ungemuuliza tena hizo picha hao wanawake wanavyura?
😂 😂 😂
Yani mtu gari lake, paja lake, kimini chake, kelele zinakutokaje wewe?
Ulitaka kuvaa kimini wewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Humu kuna wanawake wenye magari, siyo vimkweche!![emoji3][emoji3][emoji28] Ndo kusema hakuna mwanamke jf mwenye gari? Tuombe radhi mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona huyu hayupo kwenye mkweche?Nimekusaidia kuweka picha[emoji1787][emoji1787]View attachment 1328508
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kukuona siku moja, puliz!!Nunua gari utaelewa.
Raha ya gari ni hiyo sasa.
Nini vimini!? Ungeniona mimi nikiwa kwenye gari si ungelia? Navaa T-shirts tuu ndefu kidogo.
Wewe pia ni mdada lakini...au hauna gari?😂 😂 wadada wanafanya kile mnachopenda...
[emoji2] [emoji2] [emoji2] noma na nusuKuna siku nilienda crbd azikiwe pale posta mpya,nilikutana na mtoto mkali kinyama,yaani kila idara yupo perfect,ebhana ehee acha kabisa..kuna bank branches zina watoto wakali balaa na wanajua kweli kuturusha roho
Umegonga wangapi wa kuvaa uchiuchi?
Ndio maana yake.
Unadhani naweza kufanya kitu ambacho hakinipi raha ili kufurahisha walimwengu?