Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Nenda peji ya pili kuna miguu ka gogo la misitu ya ngong.
Kuna siku nilienda CRDB Azikiwe pale Posta Mpya, nilikutana na mtoto mkali kinyama, yaani kila idara yupo perfect, ebhana ehee acha kabisa..kuna bank branches zina watoto wakali balaa na wanajua kweli kuturusha roho.Hizi benki zinaambiana nini maana utakuta nyingi wameajiri watoto weupe sketi fupi inampasuo nyuma guu hilo au upaja halafu hizo sauti unazokaribishwa nazo kidogo mteja unafurahia huduma
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna siku nilienda crbd azikiwe pale posta mpya,nilikutana na mtoto mkali kinyama,yaani kila idara yupo perfect,ebhana ehee acha kabisa..kuna bank branches zina watoto wakali balaa na wanajua kweli kuturusha roho
π π π vikatuni vinapaa na vipaja km panziMtoa mada hauko updated..kuna vigauni wanashona vya vitenge, sasa hivi wanavaa wanakua kama vikatuni vinapaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakikaa kwenye usukani wanavichomeka mapajani kwa ndani halafu wanaweka simu kwa juu pale kwenye mashine[emoji16].
Kwa leo tu nimekutana na wawili
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiogope... Usiharibu sifa ya mlevi.
Kuna TCRA
Dah we jamaa una akili kama zanguMimi napenda mapaja yao yanavyokua meupe na guu unakuta lipo...ni burudani sana kwa mabaharia kutazama, shida unakuta tu kifuani ni ndalaa[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Baharia ana peruz na kudadis ππ
Utasababisha ajali mkuu...Sisi wengine tunapenda kuangalia, Sasa wakiacha tutakosa hii burudani. Msiache Wajameni, tukiangalia hayo mapaja ndiyo tunavutiwa kutembelea hizo hifadhi zenu za Utarii
Sent using Jamii Forums mobile app
Da huku ndiko kunyanyasana kijinsia kwenyeweNimekusaidia kuweka picha[emoji1787][emoji1787]View attachment 1328508
Sent using Jamii Forums mobile app
Nna gari la nguvu lkn sijifunui mapaja..Nunua gari utaelewa.
Raha ya gari ni hiyo sasa.
Nini vimini!? Ungeniona mimi nikiwa kwenye gari si ungelia? Navaa T-shirts tuu ndefu kidogo.
Akili za roho chafu ππDah we jamaa una akili kama zangu
Mimi napenda mapaja yao yanavyokua meupe na guu unakuta lipo...ni burudani sana kwa mabaharia kutazama, shida unakuta tu kifuani ni ndalaa[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujakosea,wenzako sisi marijali ndio maana tukiona vitu tunasisimkwa,Akili za roho chafu ππ
Daah wale wa crdb wana sifa wale ukute Toto linachura [emoji3] jeupee
Sent using Jamii Forums mobile app
Usije ukaacha kuvaa kile kimini Kisa mtoa mada wivu tu unamsumbua
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatunyima haki yetu Sisi wanaume, acha uchoyoNna gari la nguvu lkn sijifunui mapaja..
Coz nna hela ya mafuta
Nna hela ya service
Nna hela ya fine [emoji119][emoji119][emoji119]