Wadada wenye magari na vimini

linguistics, Kumbe kwa akili yako unadhani kuvaa vimini ni ili kupata hela ya mafuta na service na fine? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
 
Soma post #102
 
Hiki kizazi cha nyoka kuna pahala tunakwama aisee.

Haiwezekani zamani mabibi zetu walivaa kufunika k tu lakin hakukua na shida, najiuliza yale mazngra yakirudi si tutawabaka sana.
 
Nunua gari utaelewa.
Raha ya gari ni hiyo sasa.
Nini vimini!? Ungeniona mimi nikiwa kwenye gari si ungelia? Navaa T-shirts tuu ndefu kidogo.
Naomba kukuona siku moja, puliz!!
 
Unaanzaje kuchungulia vioo vya magari ya wanawake hadi kwenye mapaja? Yaani muda hio unakua uko upande UPI?? Umetega mahali au unatembea au unaenda kuchungulia? Sijaelewa! Learn to mind your own business Mpwa!

Kuna siku utakuja kuona my wife wako amepewa lift uanze kuumia! Relax maisha yana mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku nilienda crbd azikiwe pale posta mpya,nilikutana na mtoto mkali kinyama,yaani kila idara yupo perfect,ebhana ehee acha kabisa..kuna bank branches zina watoto wakali balaa na wanajua kweli kuturusha roho
[emoji2] [emoji2] [emoji2] noma na nusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…