MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Na uhuru wa mwanamme ni nini[emoji1]
haya sasa!!Yani mtu gari lake, paja lake, kimini chake, kelele zinakutokaje wewe?
Ulitaka kuvaa kimini wewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Chama cha Wenye Vimini na Magari kishaanza kujibu mashambulizi nini?
Maana sipati picha upige umini halafu ushindwe kupiga jeki maziwa eti yalale[emoji1][emoji1], siwezi elewa