Wadada wenye magari na vimini

Wadada wenye magari na vimini

Hahaahah kuna siku nmetoka zangu kwenye mihangaiko nkakutana na jirani yangu kwenye gari akanipa lift kiukweli nguo aliyokuwa amevaa naweza kusema ni kama zile chupi tu gari full tinted sasa tumefika maeneo ya mnazi kuna trafik akalipiga mkono tukasimama sasa mambo yaliharibika baada tu ya kufungua kioo na kukutana na ziwa hilo pamoja na upaja uwo trafiki nakumbuka aliishia kuuliza jina mpka tunaondoka anaongea kwa kigugumizi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hujaona wamama kwenye daladala wanavotuumiza mabaharia kwa kutingisha chura zao


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu haka kautafiti ni barabara moja tu Alli Hassan Mwinyi, kutoka Tegeta mpaka Posta
 
Nunua gari utaelewa.
Raha ya gari ni hiyo sasa.
Nini vimini!? Ungeniona mimi nikiwa kwenye gari si ungelia? Navaa T-shirts tuu ndefu kidogo.
Upepo unapitaa tuuh unapuliza tu pwaah[emoji3] bora nikingekua upepo sometimes ukiwa human being kuna vitu unavikosa vya kibaharia vya msingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaona sasa haya sasa usitupondee maua yetu embu uwaache [emoji3] umoja wa mabaharia haujapendezwa na kauli yako

Wadada msisikilize huyu linguistic nyie jiachieni ikiwezekane endesheni na bikini na kyupi au g string au mkiweza endesheni uchi kama wanaendesha ungo (traditional African helicopter )
Miguu personal [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa kabisa...mimi napata sana burudani nikiona hvyo vimini, haswa nikitembelea bank ya crdb wamejaa sana mule[emoji16][emoji16]
Bora hazard uweka picha hivi mdada Unaazaje kulifunika hili watu wasione huko ni kuficha rehema za muumba onyesha miujiza yake onyesha sifa za uumbaji wake huyu mtoa mada atakuwa na miguu kama fito

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom