Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Sasa nakuwaje mpole jamani na mnaangamia watoto wetu?kuwa mpole ombaomba.
Kwanini lakini ulichagua kuolewa? Hebu twende taratibu tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa nakuwaje mpole jamani na mnaangamia watoto wetu?kuwa mpole ombaomba.
Kwani masikini hawana miwasho mkuuWewe utakuwa mgonjwa wa fikra
Tajiri anafedha teyari, kwake sio kipaumbele shida yake umtoe muwasho baasi
Maskini hanafedha, kujitokedha kwako, kweke ahuweni anakuona fursa.....hana fedha
aiseee me mwenyewe sitaki kusikia n jaaa zako kasake pesa kwanza.Tukiacha kuwatongoza nyie si huwa mnashinda kwa waganga kwa waganga kutuvuta kichawi
Natongoza wenye pesa kwa sababu wana mapenz ya kweli
Njaa zako sitak kuzisikia
Sasa mie dada nitafute za kwangu napata wapi muda wa kumuhudumia mume wangu??mie namuacha mume wangu aendelee kutafuta aniletee.Hahaaaaaa njaa zitawauwa nyie dada zetu
Tafuten za kwenu
Mbona kwenye mada umewaongelea kuwa ulikuwa nao na wakawa wanakuomba pesa kila siku? Na umetoka kuniambia kuwa umecho msg kila siku za kuombwa pesa!!! Au ulikuwa unaota tu mdogo wangu?Hapana sister mimi siwez kuwa na mwanamke mnuka wigi, mikojo na aliyenuka shida
pm uniombe ela? me sihongi vibenteniDuh makubwa haya
Njoo pm nikutumie picha za geto langu
Matajir kama sisi huwa hatupimwi kwa macho
Huwa unawatoa wapi sasa hao wenye shida unaowalalamikia kama haitokaa uwe nao?Sitakaa nielewe kwa njaa hizo na sitakaa niwe na demu anayenuka shida
Hivi kuna mtu anakuendea wewe kwa mganga?!!!! Wakati huo anafata nini huko? Maana ela ya kuhonga huna,akakuroge apate nini kama sio kujitia nuksi??Tukiacha kuwatongoza nyie si huwa mnashinda kwa waganga kwa waganga kutuvuta kichawi
Natongoza wenye pesa kwa sababu wana mapenz ya kweli
Njaa zako sitak kuzisikia
Aje pm ya nini mkuu. Huyu nenda nae gethoni kwako akathibitishe alete mrejeshoDuh makubwa haya
Njoo pm nikutumie picha za geto langu
Matajir kama sisi huwa hatupimwi kwa macho
Utoto tu, akikua ataacha.Mkuu wewe huoni japo vijiaibu kusifia wenye mapenzi ya dhati haliyakuwa mwenyewe panya road wa mapenzi
Wengi tunahangaika kuwatafuta wenye mapanzi ya dhati sasa kama umewapata na bado ukafikisha mpaka 22 wenye mapenzi ya dhati ulikuwa unafuta nini tena
Mimi nikimpata mwanamke mwenye mapenzi ya dhati nitajenga kibanda mpaka atajuta kwa nn alichelewa kukutana na mm
Mimi nina pesa ndo maana naenda kwa wenye pesa so nikikutana wasichana wenye njaa kamaa huwa nawapiga mikas na kusepaUngekuwa na ela usinge tafuta watoto wa matajiri wewe..nenda kafanye kazi,wavulana mna njaa sana siku hizi. Linganisha rates zako za hao unaowaita watoto wa matajiri ndio utagundua njaa kali kwako.
Acha uMariooo
Bora uongee wewe mwanaume labda wanaweza kukuelewa, maana sie mama zao hawatuelewi kabisa. Akina baba jamani hebu kujeni tuokoe hikikizazi chetu.32 ? Duh hongera sana ukishea nao kiungo chako hicho kwa wote hao unajiskiaje ..
So it means kwa miaka yako hio 20+ wewe ukifika 30 ama 40 pengine unakua umeshaoa nguvu zako zitakua zinaanza kupukutika kama majani, mana nguvu nyngi unazitumia miaka hii so that means wew mkeo hautamridhisha kwa kifupi tu sababu nguvu zako zote umemalizia ujanani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wenye pesa wanajisema!!!!hivi wewe uwe na pesa kutwa kucha unashinda jf kuandika uzi unapata wapi time for production kama sio ela za kuhongwa????Mimi nina pesa ndo maana naenda kwa wenye pesa so nikikutana wasichana wenye njaa kamaa huwa nawapiga mikas na kusepa
Hapa hakuna anayelia liaUzuri ni kwamba kuweka mgomo hamuwezi kabisa. Kwahiyo 'baby' pambana tu na uanaume wako. Huo ndio uanaume sasa.
Tulichonacho ndicho hicho hicho kutwa manakililia na kukifungulia thread.
Ukute mwanafunzi mwenzie alimuomba vocha ya buku basi ndio kapanik.Umeona sasa. Huyu na mwenzie ni mariooo mie nasema toka mwanzo. Hawa wamezoea vya bure bure hawa.
Wanaume wanaojua kutafuta wanamuda wa kulalamika wametoa sh ngapi kwa wanawake zao!!!!hata siku moja hamna,mariooo sasa,na uzo wanafungua
Taratibu tu wataelewa, ashakuwa jukumu la ulimwengu huyu tutafanyaje sasa!!!Aiseee ila wanasema asiyefunzwa na ***** hufunzwa na walimwengu ngoja tuanze kumfunza kidogo kidogo
Baby boy, mapenzi ya dhati wewe unayaelewaje?Tukiacha kuwatongoza nyie si huwa mnashinda kwa waganga kwa waganga kutuvuta kichawi
Natongoza wenye pesa kwa sababu wana mapenz ya kweli
Njaa zako sitak kuzisikia