Wadada wenye pesa wana mapenzi ya dhati sana kuliko wasio nazo

Leo umelenga kwenyew! Hapa wengi watapita kama mtembea peku kweny shamba la miba!
 
Hebu subiri, shida yako mapenzi ya dhati au kuombwa pesa? Kuombwa pesa hakuhusiani na mapenzi ya dhati. Maana anaweza asikuombe pesa na akawa hana mapenzi ya dhati na wewe kabisa!!
Dogo umechanganya mambo hapo, ungesema hivi "wanawake masikini wanaomba sana pesa kuliko wanawake matajiri"
 
Wewe utakuwa mgonjwa wa fikra

Tajiri anafedha teyari, kwake sio kipaumbele shida yake umtoe muwasho baasi

Maskini hanafedha, kujitokedha kwako, kweke ahuweni anakuona fursa.....hana fedha
kwahio anazitafuta kwa kutombwa?
 
huwezi kuelewa akili ya mwanaume.
kama unakuja magetoni deile kutimiziwa haja zako na unarudi kwenu bila kuntangazia shida zako, yaan ww unataka kukitwa tu, basi hapo wanaume tunasema umenikubali na hayo ndo mapenzi ya dhati.

huwezi kuelewa akili ya mwanaume.
 
Nyie wenyewe hamjielewi hivyo hatuhangaiki kuwaelewa.
 

Nyinyi vijana acheni utapeli

Mapenzi ya dhati wala hamuelewi maana halisi

Badala ya kulegeza muowe if at all mnamaanisha

Huo ni upuuzi wa kijinga eti ya dhati......kivipi?

Kafunge doa
 
Mkuu inawezekana ikawa kweli...ila
Inategemea ni Kiwango gani cha Utajiri na Umaskini unaouzungumzia....
An Average Woman anaejielewa na Mwenye MAONO (Vision) Kama
Sakayo
Hawezi kufanya hivyo....anathamini mwili wake na utu...anajua thamani yake...though mambo ya Pesa ni subjective....yaani ni Mtambuka...mwanamke anaejitambua hawezi kukupa mwili wake in Exchange of Money labda yule malaya na Anaetafuta pesa kwa kutumia mwili wake na kama hana means nyingine ya kumuingizia kipato...
kuna Issue ya maradhi,kuchezea uke wake....Na unakuta hafurahii tendo zaidi ya kukuambia nipe changu...
salute
[URL='https://www.jamiiforums.com/members/jitu-jeusi.333072/']Sakayo[/URL]
https://www.jamiiforums.com/members/jitu-jeusi.333072/
 
Nyie wenyewe hamjielewi hivyo hatuhangaiki kuwaelewa.
katika viumbe vyote vilivyoumbwa, hakuna kiumbe kinachojielewa kama mwanaume.
ila ninyi hamjielewi na ndomana mnadet na watu msiowapenda, ati he loves me so much I will learn to love him too. wakati mwanaume anajua fika anachotaka ni kupiga tu, yan wewe mpka unamaliza kujifunza kumpenda ye kashamaliza haja zake huna jipya.

hamjielewi.
 
Mngekuwa na akili na mnajielewa kama mnavyojiaminisha basi hii dunia ingekuwa mahala salama sana pa kuishi.
 
Mngekuwa na akili na mnajielewa kama mnavyojiaminisha basi hii dunia ingekuwa mahala salama sana pa kuishi.
dunia imependezeshwa na mwanaume, kuanzia magari simu nyumba internet vyote vimetengenezwa na mwanaume. Jamiiforums yenyewe imetengenezwa na mwanaume. kuwa mpole this is the man's world.
hujielewi.
 
Wenzako wanahesabu nazi, wewe unahesabu makuti , ila ktk hao 32 ulitumia kinga au ndio wale mabingwa wakujiachia kwenye miti miti mikavu.
Kondom huwa sipati utamu mkuu situmiag kabisa aisee
 
Ila nimegundua sisi wanaume wengi wetu hatupendi kuombwa hela hahaha,... hapo mkuu unadai hawana mapenz ya dhati kisa wanakuomba hela.
Mkuu mimi huwa sipend madem omba omba aisee
 
Nyinyi vijana acheni utapeli

Mapenzi ya dhati wala hamuelewi maana halisi

Badala ya kulegeza muowe if at all mnamaanisha

Huo ni upuuzi wa kijinga eti ya dhati......kivipi?

Kafunge doa
nifunge ndoa ili nkufanyie wepesi wa maisha? pambana na hali yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…