Wadada Wenye shepu na sura nzuri, ila wanaishi maisha magumu, najiuliza wana boyfriends wa aina gani?

Hao huwa Na Wapenzi Wao Waliowapenda Toka Kumoyo Yuko Tayari Atembee kwa Miguu Tegeta Hadi Mbangala Kumfuata Mchizi Sasa huwa Mkijitokeza Washamba Wa Wanawake Kama Nyinyi Mnaanza Kugharamia Na kumrahisishia Maisha Mchizi We Unampa Hela Mpenzi Wako Na Yeye Anaenda Kumuhonga Mpenzi wake.Usidhani itaishia Hapo Hadi Ukimuoa Ukivaa jinzi Ya 30 Elfu Na Mchizi Ananunuliwa kama Hiyo Akikupa Penzi Usiku Mchana Mchizi Anapelekewa Hela Na Yas Mix,Cha Kukushauri Ukiwa Unajiweza Kimaisha Jitahidi Utafute Binti Anayejiweza Kimaisha Pia Ukijaribu Kubadilisha Sheria Hii Lazima Itakutokea Puani Siku Moja.
 
Hujanielewa, huyo mchizi anaependwa anashindwa kumpa huyo binti hata elf 15 tu abadilishe screen protector ya smartphone Inch 9
 
Ni waaminifu, hawana tamaa ya mambo makubwa.

Akiamua kuutumia mwili wake awe tayari kwa matokeo pia, na hizo mambo zina ujanja wake.

Akifeli akala kibendi au gonjwa kubwa mtaanza kumnanga pia.
 
Hujanielewa, huyo mchizi anaependwa anashindwa kumpa huyo binti hata elf 15 tu abadilishe screen protector ya smartphone Inch 9
Shida Hapo ni Vitu Viwili Mkuu,Kwanza Washkaji Wengi Uswazi Ramani Hazisomeki Hivyo Hiyo 25 Ni Milioni 25 Kwa vijana Wengi sana Kitu Cha Pili Ni Mwanamke Mwenyewe Huwa Anajua Kipato Cha Msela Kwa hiyo Hata Pale Msela Akitaka Kujikakamua kumfanyia Kitu Demu Huwa Anaona Huruma Yaani Anamuhurumia Na hiyo Ndo Dalili Ya Mwanamke Anayekupenda Yuko Tayari Hata kama yeye Ndo Alikuwa Na Smart phone Yuko Tayari Wabadilishane Na Msela Mwenye Kiswaswadu Nina Uzoefu Na Nilichokiandika Na Wewe Mtoa Mada Omba Siku Mwanamke Akupende Kuna Raha Na Karaha Kuna Vitu Atakufanyia Hadi Unapata Huruma Iliyochanganywa Na Hasira.
 
Hawaaminiki, watu wapiga na kusepa, kwani ukipiga kambi utauza hadi boxer
 
Hamna unakuta saa ingine shida sio pesa, unakuta ni mwanaume anaependwa uwezo anao ila tu hamthamini mwanamke alie nae, utakuta mwanaume anapendwa ila anaona aah sasa nimnunulie huyu dada zawadi ya nini

Nlichogundua mara nyingi kwenye mapenzi ukijiona wewe mwanaume unampa sana hela demu wako/unamhudumia sana mdada, bila hata huyo mdada kukuomba hizo huduma/pesa, mara nyingi unakuta huyo mdada anakuchukulia poa, anakuwa hana hisia na wewe kihivyo

Very sad Inch 9
 
Ni familia nyingi maskin mno unadhan wazazi wangekuwa vizuri wasingekuwa vibaya hivyo kiuchumi
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unahisi nin shida?
 
Wadada wengi hawajui thamani yao wanajichukulia poa
 
Ndo maana Nimekushauri Tafuta Binti Mwenye kujiweza kama Wewe Unajiweza Pia.
 
Kwa akili yako unadhani boyfriend ni ATM? Mahusiano sio kupeana pesa!
 
si kila mwanamke/binti mzuri awe malaya wa kujiuza ili awe na vitu vizuri vinavyoonekana kwa macho.
Sasa unakuta demu ni mzuri halafu ni malaya,na simu ni mbovumbovu,taiti imetoboka sehemu ya siri,huoni ni ujinga huo?
Kwanini asiwaambie wanaomgonga kua nina shida hii na hii?
Mi ntamuelewa mwanamke mzuri,na mwenye mapungufu hayo,na hagongeshi hovyohovyo.
 
Kweli uzuri sio kila kitu kuna tabia na kujua thamani yako. Huyo mmoja ni mzuri na yupo hapa dar ila anatembea hadi na makonda wa daladala ili asidaiwe nauli ya 400 sijui mia 5. Halafu ni shoga angu. Huwa natamani hata nimchape makofi.
Wanakera kishenzi wanawake wa hivyo,nahisi watu wanapeana namba kua yule ni mteremko na hajitambui,matokeo yake ndo hayo.Anapigwa nacwanaume 20+ ndo anapata hata hela ya taiti.Ujinga kabisa huo.
Na ikijulikana kua mwanamke anatoa sana uchi,kila mwanaume anategea kumhudumia,kwasababu kila mwanaume anawaza kua nikimhudumia huyu,ndo ntakua nimechochoe moto,wahuni watapita nae burebure,na ntadharaulika.
 
Unayumba mwanaume mwenzetu

Hivi kweli thamani ya mdada unaiona kwenye the so called "sura nzuri na shape nzuri". Watakufilisi kama ni ni hivyo maana kila utakayemkuta ana hiyo uliyoita sura nzuri au shape nzuri lakini nguo na simu yake vimechoka utajitahidi umnunulie.

Upande wa pili mwanamke ambaye siyo pisi kwa usemi wako, atakuwa hana hiyo sura nzuri na shape nzuri maana yake hastahili kuwa na vitu vizuri bali anastahili awe na simu iliyochoka kioo au kiswaswadu chenye mipira na mavazi machakavu
 
Anachoongelea mleta mada nikama kituko ambacho nimewahikutana nacho,mwanamke mzuri,anagingwa na watu wa kila aina,yaani wenye vipato tofautitofauti,yaani bodaboda, waendesha bajaji,wanafunzi,madaktari hadi madaktari bingwa,dadeki lakini taiti yake imetoboka,anatumia kiswaswadu.Mi mwanzo sikujua kama anagongesha kinoma,si nikajitutumua kumgharamia kulingana na uwezo wangu.Tulivyokaa kwenye mahusiano,aisee mdada anagongesha yule,hachagui rika wala nini,ukomtaiti gizani unamla tu.
Nikajaribu kumueleza ukweli,kua kama unafanya umalaya hivi,hebu hao wengine,jaribu kuwashirikisha shida zako,mi ngoja nokae pembeni,yawezekana ukabadilishiwa maisha,HALIELEWI,nikaamua nitemane nalo tu.Lina eji kubwa,lakini madogo,wazee,wababa na wengine,wanalipiga kinoma.Shenzi kabisa.Lina shepu na sura ila akili halina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…