Hao huwa Na Wapenzi Wao Waliowapenda Toka Kumoyo Yuko Tayari Atembee kwa Miguu Tegeta Hadi Mbangala Kumfuata Mchizi Sasa huwa Mkijitokeza Washamba Wa Wanawake Kama Nyinyi Mnaanza Kugharamia Na kumrahisishia Maisha Mchizi We Unampa Hela Mpenzi Wako Na Yeye Anaenda Kumuhonga Mpenzi wake.Usidhani itaishia Hapo Hadi Ukimuoa Ukivaa jinzi Ya 30 Elfu Na Mchizi Ananunuliwa kama Hiyo Akikupa Penzi Usiku Mchana Mchizi Anapelekewa Hela Na Yas Mix,Cha Kukushauri Ukiwa Unajiweza Kimaisha Jitahidi Utafute Binti Anayejiweza Kimaisha Pia Ukijaribu Kubadilisha Sheria Hii Lazima Itakutokea Puani Siku Moja.Unakuta mdada ana smartphone imeisha kioo kina cracks mpaka unaona aibu, halafu mdada ni mzuri haswa, shape na sura ipo, mpaka najiuliza ina maana boyfriend wa huyu mdada, haoni thamani ya huyu mdada?
Au sometimes nakutana na pisi ila amevaa nguo zimechoka, simu anatumia kiswasawadu kilichofungwa kwenye rubber band, ukichunguza yuko kwenye relationship, najiuliza hao ni boyfriends wa namna gani? Kumpa girlfriend wako elf 25 arekebishe kioo cha simu au anunue kiswasawadu kizuri nayo ni gharama sana??
Au labda kuna behind the scenes ambazo sizijui..