Andrew Tate JF-Expert Member Joined Jun 28, 2020 Posts 4,503 Reaction score 6,861 Jan 5, 2025 #161 Unataka wajiuze au wakapange foleni pale uwanja wa fisi? Kwanini mwanamke mzuri asiyejiweza awe tatizo tofauti na mwanamke asiye mzuri? Wewe utakubali mwanao wa kike abutuliwe na kila mtu sababu tu hana pesa lakini mzuri?
Unataka wajiuze au wakapange foleni pale uwanja wa fisi? Kwanini mwanamke mzuri asiyejiweza awe tatizo tofauti na mwanamke asiye mzuri? Wewe utakubali mwanao wa kike abutuliwe na kila mtu sababu tu hana pesa lakini mzuri?