Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Unataka wajiuze au wakapange foleni pale uwanja wa fisi? Kwanini mwanamke mzuri asiyejiweza awe tatizo tofauti na mwanamke asiye mzuri? Wewe utakubali mwanao wa kike abutuliwe na kila mtu sababu tu hana pesa lakini mzuri?