Wadada wenzangu hii sio poa


Kungwi Chakorii kasema😅
 
Mmmh natamani niandike kitu ila nilivyo kinara wa kuwatetea wanawake kumbe sisi wenyewe ndo chanzo cha kutukanwa. Sasa wakiona hivi watatuona tuna akili zimetimia kweli?

Naona kama narudishwa maisha ya chuo hivi. Vidrama drama vya kitoto saana. Relax kadada jf tuifanye kama sehemu ya kujifunza na burudani tu. Hivi vijembe vinatushushia heshima sisi ke wote humu.
 
Ako na malalamiko mengi sana.utafikiri jf yuko mwanamke peke yake na hao wanawake wenzie
Ushauri wako tunauzingatia wake kwa waume.
Niko na kadaftari hapa..
Umesema kuwa
1.bj kama kibogoyo
2.viuno kama panga boi bovu
3.&10...?

Eheeh kingine....?
Ili tukiingia na mchumba kwenye 6/6 Nampa kadaftari afuate maelekezo.
 
Ushauri wako tunauzingatia wake kwa waume.
Niko na kadaftari hapa..
Umesema kuwa
1.bj kama kibogoyo
2.viuno kama panga boi bovu
3.&10...?

Eheeh kingine....?
Ili tukiingia na mchumba kwenye 6/6 Nampa kadaftari afuate maelekezo.
Kichwa chako🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…