Wadada wenzangu hii sio poa

Wadada wenzangu hii sio poa

Hold on 🤣🤣 hizo hasira zimetoka wapi

Au ni yule dume jike wa screenshot 🤣🤣🤣🤣🤣

Amtaje tumnangeeee
Kwanini wagombane kisa wanaume ambao hata makwao hawajulikani

Cc Unique Flower
Eti nashangaa walahi Sina hata mfagia baraza humu nipo tu kama nipo
 
Fight fight fight fight fight fight fight fight fight fight fight fight fight fight fight fight fight fight fight fight fight fight
 
Hold on 🤣🤣 hizo hasira zimetoka wapi

Au ni yule dume jike wa screenshot 🤣🤣🤣🤣🤣

Amtaje tumnangeeee
Kwanini wagombane kisa wanaume ambao hata makwao hawajulikani

Cc Unique Flower
Hasira zinakujaga tu zenyewe nikiwa sina hela

Dume jike 🤣🤣🤣
Yule hashindwi maana ana mahangaiko debe
 
Leo nimecheck karudi kikeni

Mwamba ana miwasho yule 🤣🤣🙌


Amtaje tumpumzikie
Hasira zinakujaga tu zenyewe nikiwa sina hela

Dume jike 🤣🤣🤣
Yule hashindwi maana ana mahangaiko debe
 
Sawa mie Sina mume , mchumba, Wala. Cha Nini mie nimeambiwa tu na mtu kuwa huyu ni mwanadada ambaye anahisi uko na jamaa za Hawa wanaume malegend walioanza hii jf Sasa ukiangalia mie hao wa nyuma sinaga mambo nao hawajawahi nifuata ila kaleta ujinga na kebei hadi kero.


Mie ni smart ila kaniboa bhana .

Ila nimekuelewa kitofauti nitajitahidi
Oooh kumbe umeambiwa tu? Achana na maneno ya kusikia zidisha mapenzi kwa huyo mpenzi wenu mpaka mchepuko mwenzio akili imkae sawa.
Kuchambana kisa wanaume mambo ya zamani sana shoga angu
 
😂😂😂😂😂😂 muulize Lenie
Mm nimepoteza cm juzi
Jana jioni ndio nimerudi kwa hewa.


Mtaje tumsuteee
Wala hatukukimbiii
Mwaya Unique Flower hiyo siku hatukua hewani, tusamehe bure
Ila nakuhakikishia leo tuko bega kwa bega na wewe.

Hivyo hapa nilikua naenda sokoni ila nimesimama mahali nasubiria uwataje nikupambanie na sokoni siendi tena, huoni navyokujali?

Haya watajeeeeee
 
Back
Top Bottom