Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
Kwanza ifahamike mimi Kijana Masikini sio mpenzi kabisa wa wadada weupe labda awe chibonge tena chibonge haswa. Akiwa mwembamba au mwili wa wastani huwa sishoboki hata kidogo hata awe na sura nzuri vipi.
Pamoja na kutokuwa chaguo langu la kingono ila mara moja moja upwiru unapokaba koo huwa narusha ndoano kwao, Kikubwa ninacho kipenda kwa hawa wadada ni kwamba wamenyooka kwenye majibu.
Yaani akisema nimekubali ujue kakubali, akisema nakuja ujue anakuja, akisema sikuhitaji ujue hakuhitaji na anakupa na sababu za kueleweka hadi wewe unaelataliwa unaridhika.
Hawa ndiyo cheupe dawa sasa ninavyo wakubali Tofauti na hawa dada zetu wengine.
Usingizi unanivuta sasa ngoja niegeshe ubavu.