Wadada weupe na wazuri wa asili piteni hapa mjibebee maua yenu

Kwanza ifahamike mimi Kijana Masikini sio mpenzi kabisa wa wadada weupe labda awe chibonge tena chibonge haswa. Akiwa mwembamba au mwili wa wastani huwa sishoboki hata kidogo hata awe na sura nzuri vipi.

Pamoja na kutokuwa chaguo langu la kingono ila mara moja moja upwiru unapokaba koo huwa narusha ndoano kwao, Kikubwa ninacho kipenda kwa hawa wadada ni kwamba wamenyooka kwenye majibu.

Yaani akisema nimekubali ujue kakubali, akisema nakuja ujue anakuja, akisema sikuhitaji ujue hakuhitaji na anakupa na sababu za kueleweka hadi wewe unaelataliwa unaridhika.

Hawa ndiyo cheupe dawa sasa ninavyo wakubali Tofauti na hawa dada zetu wengine.

Usingizi unanivuta sasa ngoja niegeshe ubavu.
Haya kijana masikini,Sisi matajiri ni pesa tuu,haya mambo hatuna muda nayo!Hata maua hatuwapi.
 
GstCjU2WYAA7qzk.jpg
 
Kwanza ifahamike mimi Kijana Masikini sio mpenzi kabisa wa wadada weupe labda awe chibonge tena chibonge haswa. Akiwa mwembamba au mwili wa wastani huwa sishoboki hata kidogo hata awe na sura nzuri vipi.

Pamoja na kutokuwa chaguo langu la kingono ila mara moja moja upwiru unapokaba koo huwa narusha ndoano kwao, Kikubwa ninacho kipenda kwa hawa wadada ni kwamba wamenyooka kwenye majibu.

Yaani akisema nimekubali ujue kakubali, akisema nakuja ujue anakuja, akisema sikuhitaji ujue hakuhitaji na anakupa na sababu za kueleweka hadi wewe unaelataliwa unaridhika.

Hawa ndiyo cheupe dawa sasa ninavyo wakubali Tofauti na hawa dada zetu wengine.

Usingizi unanivuta sasa ngoja niegeshe ubavu.
Mkuu ungeanza na kuweka na wako tumuone ili utupe nasi moyo wa kuwabandika na wetu wasifiwe na kujadiliwa humu.
 
Kwanza ifahamike mimi Kijana Masikini sio mpenzi kabisa wa wadada weupe labda awe chibonge tena chibonge haswa. Akiwa mwembamba au mwili wa wastani huwa sishoboki hata kidogo hata awe na sura nzuri vipi.

Pamoja na kutokuwa chaguo langu la kingono ila mara moja moja upwiru unapokaba koo huwa narusha ndoano kwao, Kikubwa ninacho kipenda kwa hawa wadada ni kwamba wamenyooka kwenye majibu.

Yaani akisema nimekubali ujue kakubali, akisema nakuja ujue anakuja, akisema sikuhitaji ujue hakuhitaji na anakupa na sababu za kueleweka hadi wewe unaelataliwa unaridhika.

Hawa ndiyo cheupe dawa sasa ninavyo wakubali Tofauti na hawa dada zetu wengine.

Usingizi unanivuta sasa ngoja niegeshe ubavu.
Nyuchi zao huwa na shombo kali kuliko weusi.
 
Back
Top Bottom