Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
Hapana mkuu nimewaza tu ukweli wa hawa watu wanatuondolea sana usumbufu sisi wahuni.Naona unajibu mashambulizi😁
Waite Mods wafute uzi mkuu.post za kijinga jinga kama hizi zimefanya jf imekua takataka kwa week nalog in mara moja manake 90% ni upumbavu tu
iwe mwazo na mwisho kupost threads za kipumbavuWaite Mods wafute uzi mkuu.
Sawa.iwe mwazo na mwisho kupost threads za kipumbavu
😂😂😂 mwanae yuko jela ni muda mzuuri kabisa wa kumfariji sasa.Mama Ndege pokea maua kutoka kwenye chemba zote za moyo wangu 😎
Facebook imehamia jf😅post za kijinga jinga kama hizi zimefanya jf imekua takataka kwa week nalog in mara moja manake 90% ni upumbavu tu
Eh mwanae gn tena huyo?😂😂😂 mwanae yuko jela ni muda mzuuri kabisa wa kumfariji sasa.
🤔🤔 hata wewe Qashy!!!Facebook imehamia jf😅
Vibonge leo tumekumbukwa😎☺️Mama Ndege pokea maua kutoka kwenye chemba zote za moyo wangu 😎
SecretaryNdegeEh mwanae gn tena huyo?
Huna ubonge Ila unaonekana una mwili mzuri 😎Vibonge leo tumekumbukwa😎☺️
Huyo nae akome 😂SecretaryNdege