Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 997
- 1,220
Yamenikuta mwenzenu.
Hapa naandika talaka, tena KWA HERUFI KUBWA!!
Hapa naandika talaka, tena KWA HERUFI KUBWA!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukute haikua yako pole mkuuYamenikuta mwenzenu.
Hapa naandika talaka, tena KWA HERUFI KUBWA!!
Kama mimba yako si ungeibeba mwenyewe tumboni mwako?Yamenikuta mwenzenu.
Hapa naandika talaka, tena KWA HERUFI KUBWA!!
Kila la kheri Mzee wangu.Yamenikuta mwenzenu.
Hapa naandika talaka, tena KWA HERUFI KUBWA!!
ndani ya ndoa mnatoaje mimba ?
kwanini ametoa mna watoto wengi au mna mtoto mdogo sana
Wizo punguza ukali wa maneno 😹Kama ni mimba yako basi ingekaa kwenye pumbuh lako la kushoto na tungeona MVIMBO. LA HASHA!
Kazi yako ni kukojoa tu, mimba hailipiwi inakuja yenyewe kutokana na michakato ya kibayolojia, haukuitengeneza wewe.
Mimba pekee uliyonayo ni hicho kitambi cha michemsho ya MIGUU YA KUKU.
Cc: Lamomy Mbaga Jr Extrovert dronedrake The Icebreaker cocastic
Ana hasira na wanaume, sijui tulimfanya nini!!??Wizo punguza ukali wa maneno [emoji81]
Itakuwa fuse imekata sio bure!Ana hasira na wanaume, sijui tulimfanya nini!!??
😹😹😹 MlimkopaAna hasira na wanaume, sijui tulimfanya nini!!??
😀😀😀hali si shwariMke anatoa mimba ndani ya ndoa.
Kweli ndoa za kisasa zina heka heka
Hapo ni sawa na kusamehe mwanamke aliye kusalitiYamenikuta mwenzenu.
Hapa naandika talaka, tena KWA HERUFI KUBWA!!