Wadau baharia mimi nimepata janga ambalo halikuwahi kunipata kabla

Inaonekana wewe ni mtumiaji wa madawa ya kulevya au umetumia sana huko nyuma hivyo umeathirika kisaikolojia.
Watu wengi wasichojua ni kuwa anayetumia madawa ya kulevya anapata raha kubwa kuliko apatayo anayefanya mapenzi that's why watumia unga wengi wako mbali na mapenzi.

Ni tatizo la akili na mwili tu .Kula matunda mengi na vyakula vya protein kujijenga misuli na ubongo pia pendelea kuangalia movie za mapenzi utapata vionjo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ehee hapo kwenye muvi za mapenzi kupata vionjo porno zitafaa au sio man?
 
Ni hofu au uoga tu na huyo dada sabab ni mpya na umepania sana,ukimzoea huyo utapiga vzur...

Ukifanikiwa kuondoa hyo hali ya uoga kwa either bangi kama ulivosema au pombe utapiga fresh tuu,hzo znatutokea sana sis wenye makolon meng tofaut tofaut
 
Ahaa sawa sawa, kwahiyo nikiwaambia tu erecto 50 wanaelewa!! Sasa je hawataanza kuhitaji niwape uthibitisho wa daktari kuwa naruhusiwa kutumia hizo erecto!!
hakuna hizo dawa hazihjitaji prescription si ndio hizo wanwachanganyia kwenye supu ya pweza kila siku mnaona kama pweza ana maajabu kumbe hamna kitu.
 
hakuna hizo dawa hazihjitaji prescription si ndio hizo wanwachanganyia kwenye supu ya pweza kila siku mnaona kama pweza ana maajabu kumbe hamna kitu.
Ahaa sasa nimekupata man. Vipi unatakiwa utumie dakika ngapi kabla ya mtanange na inaanza kufanya kazi dakika ngapi baada ya kumeza? Isije mashine ikadinda wiki nzima hapo.
 
Shehe kwenye sub usiwasahau wafuatao
1.asali mbichi
2. Mihogo
3 Tangawizi huyu ni mlinz Wa kushoto
4 Colget huyu ni kitasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahaa sasa nimekupata man. Vipi unatakiwa utumie dakika ngapi kabla ya mtanange na inaanza kufanya kazi dakika ngapi baada ya kumeza? Isije mashine ikadinda wiki nzima hapo.
daki 15 inatosha kama hujala msosi wa nguvu muda huo kama unakula msosi wa nguvu ni bora uitangulize ile msosi usizuie kunyonywa hata hivyo haiwezi chukua zaidi ya dakika 30 kwa hali yoyote mpaka dawa ifanye kazi, haraka mwilini inafanya kazi kwa masaa 4 mpaka 6 japo kuwa mie huwa naona manufaa yake mpaka kwa siku mbili uume ukisimama unakuwa ngangari kweli mwanamke akikalia haupindi hata kidogo,

Kitu kingine hii dawa haifanyi kazi bila wewe kupata hisia hivyo ondo wasi wasi wa kuwa utatembea huku mashine imesimama ukitoka kwenye dawa mpaka uwe sexual aroused ndipo nayo ina kick off.

Kumbuka usitumie hii dawa kama unakunywa dawa nyingine za presha mpaka uonane na daktari, hii dawa pia hushusha presha kidogo hivyo kama unatumia dawa za presha uwe na tahadhari kidogo kuwa presha yako haipo chini sana vinginevyo kizunguzungu na kichefuchefu kitakuharibia shoo.
 
Shehe kwenye sub usiwasahau wafuatao
1.asali mbichi
2. Mihogo
3 Tangawizi huyu ni mlinz Wa kushoto
4 Colget huyu ni kitasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kwenye colgate hapo nielekeze vizuri man. Kuna watu kama wawili hivi waliwahi kuniambia nikachukulia poa kuwa "Aaagh colgate si dawa ya meno! sasa ndiyo itafanyaje" kumbe inafaa? Ila wenyewe waliniambia unapoitumia unaichanganya na mafuta ya nazi, je kuna ukweli?
 
Kamanda thank you very very much aisee! Nitalifanyia kazi kikamilifu hili. Leo leo naenda Pharmacy,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…