Wadau baharia mimi nimepata janga ambalo halikuwahi kunipata kabla

Wadau baharia mimi nimepata janga ambalo halikuwahi kunipata kabla

Habari zenu waungwana. Poleni sana na mapambano dhidi ya COVID-19.

Baada ya kuzichakata sana nyuchi za hawa dada zetu wazuri wiki iliyopita nimepatwa na jambo ambalo baharia mimi sina uzoefu nalo. Kwa kifupi nimepagawa vikali hadi jana nikasimama mbele ya kioo na kujiangalia juu mpaka chini hivi ni mimi kweli nimetokewa na hili jambo au naotaa?

Picha linaanza naingia tu ndani na manzi mashine iko wima kama nguzo, wakati namuandaa manzi mashine ikalala nywiii... Nikaendelea kumuandaa weeee ikasimama tena, nikamuweka ile style kali ya popo kanyea mbingu... Piga paipu weee nikasema ngoja nibadilishe sasa nimuweke mbuzi kagoma nimechomoa mashine manzi kashainama tayari matundu yote nayaona mwaaaaa na mashine nayo ikalala tena bwiiiii sasa safari hii ikalala mazima, na kwa urembo wa huyu manzi nikajua atanikacha tu maana kwa uzuri huu lazima atakua na wanaume kibao lakini wapiii... Mtoto wa watu ndiyo kwanza kazidisha mawasiliano na mimi, simu kila kukicha na jana kaniomba next week turudie tena mechi maana siku ile ni sawa na hakuna tulichofanya, baharia nipo kikaangoni. Leo asubuhi kanitumia text inasomeka hivi "REMEMBER DARLING, NEXT WEEK I WANT TO FEEL YOUR TOUCH".

Ni wiki moja tu imepita toka nipatwe na hilo janga geni kwangu. Ni kweli niliwahi kupiga nyeto sana tu miaka ya nyuma lakini nikaacha, je hii inasababishwa na nyeto? Na kama jibu ni ndiyo ni kwanini hili jambo halikuwahi kunitokea hapo kabla wakati nimekula nyuchi kibao tu za hawa wadada tena ile kikamilifu?

Na kama shida ni zile nyeto je unaweza ukapatwa na haya mambo hata kama uliacha haya manyeto toka kitambo?.

Wadau kwa hiyo text yake niliyowaonesha aliyonitumia leo asubuhi baharia mimi nawaza kuikimbia hii mechi maana naona nishaingia wenge tayari na inaonesha dhahiri kuwa manzi kanipania huyu.

Huwa nina kawaida ya kuvuta bangi na sijui nikwanini sikuile sikuvuta bangi zangu huwenda yale yote yasingetokea.

Hiyo next week nataka nimvutie misokoto miwili heavy, yeye si kanipania? Sasa ni full kupaniana. Nitaingia dimbani nikiwa full chaji jicho nyanya.. Nitalivuruga lile shimo kama kimondo kinavyokita ardhini.

HAIWEZEKANI, NASEMA TENA HAIWEZEKANI NIKAFELI MBELE YA BANGI.

Yani ananipania mimi kwa kunitext kabisa?

WE SUBIRI.
Inaonekana wewe ni mtumiaji wa madawa ya kulevya au umetumia sana huko nyuma hivyo umeathirika kisaikolojia.
Watu wengi wasichojua ni kuwa anayetumia madawa ya kulevya anapata raha kubwa kuliko apatayo anayefanya mapenzi that's why watumia unga wengi wako mbali na mapenzi.

Ni tatizo la akili na mwili tu .Kula matunda mengi na vyakula vya protein kujijenga misuli na ubongo pia pendelea kuangalia movie za mapenzi utapata vionjo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ehee hapo kwenye muvi za mapenzi kupata vionjo porno zitafaa au sio man?
 
Ni hofu au uoga tu na huyo dada sabab ni mpya na umepania sana,ukimzoea huyo utapiga vzur...

Ukifanikiwa kuondoa hyo hali ya uoga kwa either bangi kama ulivosema au pombe utapiga fresh tuu,hzo znatutokea sana sis wenye makolon meng tofaut tofaut
 
Ahaa sawa sawa, kwahiyo nikiwaambia tu erecto 50 wanaelewa!! Sasa je hawataanza kuhitaji niwape uthibitisho wa daktari kuwa naruhusiwa kutumia hizo erecto!!
hakuna hizo dawa hazihjitaji prescription si ndio hizo wanwachanganyia kwenye supu ya pweza kila siku mnaona kama pweza ana maajabu kumbe hamna kitu.
 
hakuna hizo dawa hazihjitaji prescription si ndio hizo wanwachanganyia kwenye supu ya pweza kila siku mnaona kama pweza ana maajabu kumbe hamna kitu.
Ahaa sasa nimekupata man. Vipi unatakiwa utumie dakika ngapi kabla ya mtanange na inaanza kufanya kazi dakika ngapi baada ya kumeza? Isije mashine ikadinda wiki nzima hapo.
 
First Eleven
1-Dona kubwa
2-Nyagi
3-Maji Lita tatu
4-Vitunguu swaumu
5-Nazi mbata
6-Karanga Mbichi
7-Alkasusu atatokea wing
8-Mkuyati
9-Vumbi la kongo -ataongoza mashambulizi
10-Erecto-50
11-Chuzi la Pweza

Panga timu yako vizuri tu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
Shehe kwenye sub usiwasahau wafuatao
1.asali mbichi
2. Mihogo
3 Tangawizi huyu ni mlinz Wa kushoto
4 Colget huyu ni kitasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahaa sasa nimekupata man. Vipi unatakiwa utumie dakika ngapi kabla ya mtanange na inaanza kufanya kazi dakika ngapi baada ya kumeza? Isije mashine ikadinda wiki nzima hapo.
daki 15 inatosha kama hujala msosi wa nguvu muda huo kama unakula msosi wa nguvu ni bora uitangulize ile msosi usizuie kunyonywa hata hivyo haiwezi chukua zaidi ya dakika 30 kwa hali yoyote mpaka dawa ifanye kazi, haraka mwilini inafanya kazi kwa masaa 4 mpaka 6 japo kuwa mie huwa naona manufaa yake mpaka kwa siku mbili uume ukisimama unakuwa ngangari kweli mwanamke akikalia haupindi hata kidogo,

Kitu kingine hii dawa haifanyi kazi bila wewe kupata hisia hivyo ondo wasi wasi wa kuwa utatembea huku mashine imesimama ukitoka kwenye dawa mpaka uwe sexual aroused ndipo nayo ina kick off.

Kumbuka usitumie hii dawa kama unakunywa dawa nyingine za presha mpaka uonane na daktari, hii dawa pia hushusha presha kidogo hivyo kama unatumia dawa za presha uwe na tahadhari kidogo kuwa presha yako haipo chini sana vinginevyo kizunguzungu na kichefuchefu kitakuharibia shoo.
 
Shehe kwenye sub usiwasahau wafuatao
1.asali mbichi
2. Mihogo
3 Tangawizi huyu ni mlinz Wa kushoto
4 Colget huyu ni kitasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kwenye colgate hapo nielekeze vizuri man. Kuna watu kama wawili hivi waliwahi kuniambia nikachukulia poa kuwa "Aaagh colgate si dawa ya meno! sasa ndiyo itafanyaje" kumbe inafaa? Ila wenyewe waliniambia unapoitumia unaichanganya na mafuta ya nazi, je kuna ukweli?
 
daki 15 inatosha kama hujala msosi wa nguvu muda huo kama unakula msosi wa nguvu ni bora uitangulize ile msosi usizuie kunyonywa hata hivyo haiwezi chukua zaidi ya dakika 30 kwa hali yoyote mpaka dawa ifanye kazi, haraka mwilini inafanya kazi kwa masaa 4 mpaka 6 japo kuwa mie huwa naona manufaa yake mpaka kwa siku mbili uume ukisimama unakuwa ngangari kweli mwanamke akikalia haupindi hata kidogo,

Kitu kingine hii dawa haifanyi kazi bila wewe kupata hisia hivyo ondo wasi wasi wa kuwa utatembea huku mashine imesimama ukitoka kwenye dawa mpaka uwe sexual aroused ndipo nayo ina kick off.

Kumbuka usitumie hii dawa kama unakunywa dawa nyingine za presha mpaka uonane na daktari, hii dawa pia hushusha presha kidogo hivyo kama unatumia dawa za presha uwe na tahadhari kidogo kuwa presha yako haipo chini sana vinginevyo kizunguzungu na kichefuchefu kitakuharibia shoo.
Kamanda thank you very very much aisee! Nitalifanyia kazi kikamilifu hili. Leo leo naenda Pharmacy,
 
Back
Top Bottom