Wadau dakika Elekezi ni zipi katika tendo nachanganyikiwa hapa. Katiba ya sasa haijataja kabisa

Wadau dakika Elekezi ni zipi katika tendo nachanganyikiwa hapa. Katiba ya sasa haijataja kabisa

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Kuna wanaosema iliamriwa ziwe 5 tu. Lakini kuna wanaosema ni 3 tu hasa kama umelipia kila kitu wewe na bado utamlipa mhusika huna sababu ya kujichosha.

Nimeongea na dogo mmoja yeye anasema kwa mishangazi ni dk zisizopungua 30. Sababu analishwa, ananyweshwa hivyo anatumikia hayo malipo.

Nimejaribu kuangalia kwenye Ilani ya Chama Cha MapinduZii. Sijaona kama wamegusia jambo hilo na Serikalini sijaona kama wametoa Mwongozo wowote katika hili jambo. Naomba kama kuna mwenye uelewa au elimu katika hili. Je muda elekezi ni upi?

Nadhani pia katiba mpya izungumzie hili kwa mapana ili kuepuka mkanganyiko na hali ya sintofahamu ambayo imezuka kwa sasa.
 
Back
Top Bottom