Wadau dakika Elekezi ni zipi katika tendo nachanganyikiwa hapa. Katiba ya sasa haijataja kabisa

Wadau dakika Elekezi ni zipi katika tendo nachanganyikiwa hapa. Katiba ya sasa haijataja kabisa

Usijihangaishe.wanawake Sasa Wana mambo mengi mno kumkojoza ni bahati nasibu.
We jijali wewe kama wewe. Piga kojoa tembea mbele.
Kama hajakojoa kwako atakojoa njiani akienda nyumbani kwake.

Unahangaika kumkojoza MTU ana
1. Michango ya vigoma
2. Madeni ya kausha damu
3. Anawaza vijora

Na mambo kibao. Utawezea wapi?
 
Mpaka leo nimekosa mpenzi wa kuishi nae kwa sababu ya kutumia muda mrefu. Kila ninae faki nae harudi tena. Kwahiyo ukiweza kumwaga haraka we mwaga tu. Mimi sijawahi tumia chini ya masaa mawili na huwa ninapiga kimoja tu
 
Back
Top Bottom