navigator msomi
Senior Member
- May 8, 2018
- 188
- 224
Iko hivi, mwaka jana mwezi wa 12 nilienda mkoani nikakutana na mama wa mwanangu ambaye naweza kusema kama mahusiano ya kimapenzi yalikuwa yameshaisha tulibaki kulea mtoto...
Sasa, nilifikia lodge na yeye akamleta mtoto nimuone hapo lodge katika moja na mbili tukajikuta tumekumbushia ya enzi tukafanya mapenzi hiyo ilikuwa tarehe 17 mwezi wa 12.
Kipengele ni hiki, baada ya hapo tulibaki tunawasiliana kuhusu mtoto tu na hakuna kingine mpaka mwaka huu mwezi wa sita nilipita tena mkoa huo kumuona mtoto na tulionana japo round hii sikutaka mazoea ya kufanya nae.
Ila sasa baada ya kutoka kule mwezi wa saba kuna mshikaji wangu ananiambia mwanamke kama ana mimba nikamuambia mimi hajaniambia
Sasa last week katika kuongelea maendeleo ya mtoto nikaamua nimgusie hali yake, kwanza mwanzo akakana kwamba hana hiyo shida ila baadae ananitumia sms kwamba mimba ni yangu ila alishindwa kuniambia tangu mwanzo.
Swali langu, hivi ni kweli mtu mliefanya nae mapenzi tangu mwezi wa 12 tarehe 17 awe hajazaa mpaka saiz? Na kama hajazaa kwann hakuniambia kwamba ana ujauzito wangu mpaka nilipomuuliza kuhusu mimba ndio kasema